Hallow Michu habari,
sisi huku sayari ya mars tunakupata vilivyo sasa kama unavyooona picha hapo nadhani mimi ndio mshindi wa ile zawadi tafadhali computer yangu haidanganyi ila kwa kupanga matokeo utanipiga chini lkn mimi ushahidi wangu ni hiyo picha niliyokutumia.

kazi njema

Robert

-----------------------------------------------------------------------------
mdau rober wa sayari ya mars,
asante kwa ujumbe na mtungo huo. nina furaha kukuambia kwamba ingawa mie inglishi iz noti richebo kwenye teknolojia hii wachache wananipita, hasa wenye dhana naa nyendo za kifisadi. hivyo jaribu tena.
wadau wengine mlio duniani msikonde wala nini. jamaa kacheza faulo ya kadi nyekundu. mie mashine yangu hivi sasa inasema hesabu ni 2974963 na milioni 3 bado kabisa!!
Mdau nambari wani
michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Nipe tu hizo dalaz ndugu yangu Michu....

    ReplyDelete
  2. Hiyo 3 siyo mwake mwanangu umekula uuh na sayarti yako ya maz

    ReplyDelete
  3. du manake mi nilishaanza kupata degedege.... just within less than 12hrs watu over 70 thousand wamevisit blog hii ya jamii!! Nikajua kweli watu wana usongo na hiyo $!! Du sio fresh atatuua wenzie kwa ugonjwa wa moyo manake hata sisi tunaingojea kwa hamu sanaaaaaaaaa!! Lione kwanza jizi kubwa weeeeee!!

    ReplyDelete
  4. Alichofanya Mdau ni kitu ambacho kinawezekana kufanyw na mtu yeyote anayejua Graphics , na angeweza kutoa madai na huwezi kukataa kama mdau angekuwa na subiri ungemshawishi vipi mtu kama huyu kafoji? nadhani mdau kakufumbua macho hiyo ngoma ikipita kwa Maluba,Shola Viriyala au Danny hahahah ndoa hutojua kabisaaaa!!!

    Kalagha baho!!!
    Mdau

    ReplyDelete
  5. Dah nyie watz mmeuanza lini unigeria? LMAO

    ..ila ninakupa 5 kwa creativity yako ya kuthink fasta na kufotoshop hiyo kitu,lazima utakuwa mchagga wewe, hebu niandikie kimathi.king@gmail.com tufanye biashara, y'all know dat GIKUYU and CHAGGA tunarule east africa economically

    ReplyDelete
  6. sasa fikiria huyu ndo unatupa mahala kama BOT huyu si atatu Balali hivi hivi huyu wajameni!!! Hahahaa ndio heshma ya sanaa hulali njaa.

    ReplyDelete
  7. Akome huyo kuleta usanii ndani ya jumba la sanaa (michu).

    ReplyDelete
  8. Duh!! Kumbe ufisadi uko hadi sayari ya mars....mimi niolidhani ni hapa duniani tu

    ReplyDelete
  9. duh hapa nilianza kujiharishia na kutetema kaa mlevi wa gongo nikijua watu washachukua mia tano,lakini bwana michuzi mjanja kuliko na jaama game yake ndogo kama wanigeria wa manzese tuu...bado tumo mpaka hiyo 500 nichukue

    ReplyDelete
  10. KWA MTU MWENYE AKILI, UKISOMA TU MAELEZO YA ANAYEJIITA ROBERT, UNAJUA NI MWONGO. KAANZA KWA KUSEMA MICHUZI ATAMTOSA. ANAJUAJE KAMA ATATOSWA IKIWA ANA UHAKIKA NA AFANYACHO? TENA WALA SI KITU CHA KUJIDANGANYA. ROBERT AU MDAU WA SAYARI YA MARS UNAONEKANA MSHAMBA WA TEKNOLOJIA. MAANA UKISHAJUA MICHUZI ATAONA PIA NANI AMEINGIA KWENYE BLOG YAKE WA 3,000,000
    HUNA HAJA HATA YA KUPOTEZA MUDA WAKO KULETA UNIGERIA KWENYE BLOG.

    ReplyDelete
  11. haya michu huyo jamaa naona atakupa alarm kichwani mwako kuwa msipokua macho ku trace kweli ikishapita milioni tatu watu wanaweza wakafoji pichaz na mkawa conferm washindi...

    nakupongeza weye robert kwa akili yako ifanyavyo kazi vyema...

    michu vipi tena lile shindano lingine??mara jpili,mara j3 mara kimyaaaaa!!!!1

    ReplyDelete
  12. Nice try Rob!! Looks good, heheh

    ReplyDelete
  13. Kama kawa brother michuzi that dollars belongs to me nipatie nikalime mwaka huu kijijini maisha ya Dar shida na dhiki nyingi

    ReplyDelete
  14. Kwanza natoa pongezi zangu kwa huyo Fisadi, kwani funzo tosha kwa Bro. Misupu, usipokuwa makini watu watafanya UBalali kwenye hutwo tu $!

    Pili: Maoni yangu ni kuwa jaribu kuyafanya taratibu za hayo makompetisheni yako yawe rahisi kidogo na yawe richabo kwa watu wote. ai mini, yaani mtu mpaka apate camera au simu ya kamera, afotoe hiyo minamba hapo chini, the aapulodi kweye bulogu yako! ndo awe ameshiriki!!! Kha!! Kwa wale wengine tusiokuwa na dijito camera na vilongalonga vya kisasa vyenye camera, ina maaana hatuwezi kushiriki!!! au unalenga jammi flan tu ya wadau?? tuwekane sawa!
    Watu hapa Nyambiti (Maswa) tunalipia internet cafe kwa ajili kusoma tu li-blogu lako na hatuna hivyo vitendea kazi (ma-camera) unatunyanyapaa kwa namna hiyo, japo tunahitaji sana hicho ki $ tupunguze makali ya maisha japo kwa siku1!

    Kuwa mbunifu zaidi ili wote tushiriki.

    Ni hayo tu mkuu,
    Naomba kuwakiisha!

    ReplyDelete
  15. mhh!
    wakati nasign in hesabu ilikuwa bado kama mtu mia tano. sasa hivi naona bado kama mia tatu tu!
    sijui mabalali watafanyaje ila nashauri pia mdau huyo atoe na muda kamili alioingia ili kuepuka hao mabalali manake ushaona jinsi watu walivyowabunifu wa kutafuta miheraa!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...