Do you know the relationship between your two eyes? They blink together, they move together, they cry together, they see things together and they sleep together BUT THEY NEVER SEE EACH OTHER... that's what friendship is.
Your aspiration is your motivation, your motivation is your belief, your belief is your peace, your peace is your target, and life is like hell without FRIENDS. It's "world best friends week".
Who is your best friend? Send this to all Your good friends. Even me, if I am one of them. See how many you get back. If u get more than 3 then you really are a lovable person .
God bless you.
DAMMMMMMN!!! KILA MTU ANAFUKUZIA DOLA $500 YA 3,000,000 MAKE DAKIKA TANO WATU 300 MIA TATU ,HATA SIKUAMINI MACHO YANGU
ReplyDeleteNIMEKWENDA CHOONI KWA HAJA NDOGO NARUDI NAKUTA WATU ZAIDI YA 300 WALIKWISHA PITIA
PIA COMPUTER YANGU IMEKUWA VERY SLOW KWA SABABU YA MSONGAMANO WA WATU
WEWE MICHUZI KWELI NI MSANII NIMEKUKUBALI
WWW.ISSAMICHUZI.COM ITAKUWAJE SASA???
KUFIKIA SAA TANO ASUBUHI ZA TANZANIA MSHINDI ATAKUWA AMEPATIKANA ,HII INANATISHA
ReplyDeleteTAFADHALI MICHUZI GAWA KWA TATU HIYO $500
BALALI SCANDLES:
ReplyDeleteSiku hili la Balali mojawapo wa majeruhi wanaostahili atakuwa Mkapa... Tunajaribsi nyingi kuna mtu atamtolea mtu uvivu kwani u kupitisha messages kwa Foreign Diplomats ili waanzishe "Former President Mkapa should also be investigated"..
Siku si mbali
Utajulikana ukweli,
Mafisadi kuwakabili,
Na kuwapiga kabali!
Tutawaumbua wazi,
Na walie kama mbuzi,
Ufisadi siyo kazi,
Ya kujifanya wajuzi!
Fisadi numero uno,
Yule mwenye majivuno,
Kajijazia mavuno,
Na pesa kama unon.
Jina lake ni Mkapa,
Aliyetutoa kapa,
Katuacha tunakopa,
Na sasa anatuepa.
Anayefuata Mramba,
Ni yule aliyetamba,
Kumbe kinara wa pumba,
Na fisadi mwenye namba.
Kasema tule majani,
Ni kejeli ya kihuni,
Pateli na kina nani,
Kawakumbata kundini!
Mwingine ndiye Mgonja,
Hazina kawa kiranja,
Akala njama kijanja,
Cha moto atakionja,
Kikwete yu matatani,
Hajui afanye nini,
Mkapa afanywe nini,
Mtama wasimwageni?
Alisema muacheni,
Kastaafu jamani,
Wazee waheshimuni,
Mwawabughudhi ya nini?
Njia panda amekwama,
Zilipenya kwenye chama,
Benki Kuu walichuma,
Madongo yamewakwama!
Sitaki kuenda sana,
Kaditamati na tana,
Fisadi mnawaona,
Wako kimya wametuna!
Je, Kikwete atathubutu kuamuru Mkapa achunguzwe? Je akinyosha kidole hatajinyoshea na yeye?
marcomicha@gmail.com