Yo Bro Michuzi,
I just wanted to compliment you on the excellent job you are doing in keeping us abreast with events back home. I came across your blog accidentally about 6 months ago, and brother I am hooked ! You truly bring about a new fresh prespective about life in Tanzania, the good,the bad and the ugly.
Pardon me for writing you in Swanglish lakini it has been 34 years since I left TZ na unajua tena Kiswahili kimebadilika ile mbaya au siyo. Btw, the funny thing about the evolution of the Swahiili language, is the fact that the terminology/vernacular ambayo unatumia kwenye blog yako leo,is the same terminology ambayo sisi ,born and bred in Dar, tulikuwa tunatumia back in the 60's and 70's . I therefore luv reading your blog kwa sababu unanirudisha mbali sana, and I am sure other middle agers reading your blog know where I am coming from.
To top it off , the other week ukanitolea picha ya shule yangu ya Forodhani. I tell you Bro, that sure brought back some memories ! Nilisoma pale kotoka Std 1, siku hizo shule ilikuwa inaitwa St Joseph's Convent, mpaka Form IV . I started remembering the Saturday "Boogies" at Forodhani, Bahari Beach, Princess, Margots, Seaview, Diamond Jubilee etc and the groups like Afro 70's, Sparks,Sunburst,Les Trippers, Comets,Tonics,Fauvette, Groove Makers,Jackson 8,Papa Micky etc Man those were the days !!!!!!
Sisi ndio tulikuwa the original mabitoz ( which by the way came from Swahilisizing the name of the famous British group "The Beatles" .
Sure you can go on ahead and post my comments. I reside in Laurel, Maryland, which is a suburb of Washington DC and am a business owner. I was born at Sew Haji Hospital ( this was before Muhimbili was built) and we lived in Ilala (Govt houses) where our house was on the same block with Mzee Rashid Kawawas house, we then moved to Changombe( Govt houses) then to Magomeni and finally Ada Estate on Morroco Rd. We also owned a house in Misheni Kota . It is very refreshing to find someone who actually knows the old Dar because a majority of the people you meet today have no clue how good and how much fun the old Dar of 60's & 70's was like.
Anyways Bro I just wanted to compliment you and also share with you my deepest apreciation of your very successful ( if I might add) blog. Congrats and keep up the good work my Brother.
God Bless , and inshallah we will meet someday and tutachapa mastory
Original Bitoz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. we bishoo tu... chukua time!













    -- hahaaa, nice post man. usishangae kuona kiswahili cha michuzi na chenu cha enzi hizo vinafanana maana michuzi na yeye si ni wa enzi hizo hizo. tembelea blog za vijana wa siku hizi (kama Michuzi mdogo utakutana na baadhi ya misemo ya kisiku hizi

    ReplyDelete
  2. mshikaji mbona hujatueleza imekaaje,tuseme wewe bado mbongo au ndo ushajili...........?maana miaka 34 si mchezo.either way kama bado hujawekeza bongo karibu tafadhali ufanye hivyo.huku tambaraaaaaare, ni kuku kwa mrija,unayosikia toka kwa wabeba mabox ni uzushi tu.

    ReplyDelete
  3. mbona hujitambulishi ili mabitoz wenzako wa miaka hiyo tukutakie hali ?

    ReplyDelete
  4. bitoz umeanza zamani sasa ulifuata nini huko Maryland? Biashara gani hizo wanazofanya mabitoz wa kibongo. Huko majuu wabongo wengi mnaongea kiswahili sana,sasa mnajifanya wazungu. Kuna Ubaguzi huko nyie kaeni tu nyumbani kuna ufisadi na ubaguzi pia lakini sio wa rangi. Ukiwa na pesa nyumbani kutamu kama asali.
    Kwa heri Bitozi wa culture!

    ReplyDelete
  5. kwa hesabu za haraka haraka wewe una late 40s au early 50s, sasa mtu wa umri huo sidhani kama anaweza kuwa anaongea(type) kama ulivyotype au ndio mzee kijana?

    ReplyDelete
  6. we Bitoz au Bishooo? utajifanyaje hujui kiswahili wakati hapo Maryland watu kibao wanalonga kiswahili? acha hizo wewe.

    ReplyDelete
  7. Hey Bitoz, nimefrahi kusikia habari za old Dar-eL-Salaam, zina furahisha ila ningependa utupe hari zaidi , ilikaje enzi hizo na ubitozi mlikuwa mna ufanyaje, na je watu wa neo gani ndio walikuwa mabitoz zaidi ,(Maana sisi wa Obay ndio tulikwua na matozi na tulukuna na kila kitu kwa enzi zetu) na je Ulikenda vipi USA enzi hizo.
    Je mlikuwa mna endesha magari ya wazazi kama sisi matozi wa kisiku hizi?
    NIme zaliw ana Kkulia Obay 1975 nakumbuka nilipo kwu ana miaka labda 6 , jiani yetu , kulikuw ana yanki mmoja alikwu ana iba gari kwao aa piga misele mitaani enzi hizi, sijui kama utam jua labda walikuwa famous, Jamaa alikua anitwa Lazaro na dhani baab yake alikwua Police walikwua wana kaa mtaa mmoja Obay sikumbuki jina ila jirani na Ethiopian Cresentuamlupsiju alikuw amixes au ni mweupe tuu, je unamjua ?

    Mimi nime kaa sana Montgomery County na pia Prince George County, na najua kUna watanzania wengi sana DC Metro area, sikumbuki ama niliweza sahau kisahili zaidi ya ku fake American Accent tuu , kiasi cha watu kudhani mimi sio Mbongo hasa pale nirudipo TZ (Yeah ni Bishoo mimi) maan nikirudi huw ana act kama sio Mbongo, sio kwa kuongea ila vitendo vyangu tuu, si mnajua watu wanje wanavyo act? na je hujichanganyi nao?

    Nasubiri Makombora toka kwa waosha Vinywa! lol

    ReplyDelete
  8. Wabongo nimewavulia kofia...mhhhh...hamuishi kusema au kwa vile ni hii "under my umbrellar....." mnaropoka mnachotaka...Mhhhh...mngeweka majina yenu wenye comments za kinyaturu tuwaone. Msiopenda kuona kizuri kwa mwenzio

    Inaonyesha mkiwa bongo mind zenu fyuuu sana...Uzee bongo lakini huku age is nothing but numbers. Mtu wa 40's au 50's hawezi kuandika hivyo nani kakwambia au kwa vile bongo ukiwa na miaka 40 tu una vijukuu vingi tu tayari.......Tokeni kidogo mfungue macho.......

    Halafu mnaosema yupo MD na kuna wabongo wengi kwanini asioongee kiswahili ...nyooo...mimi nipo kwenye state ina wabongo kibao lakini nawaona Xmass tu na kuongea kiswahili ni nikiita nyumbani au nikitype humu kwa michuzi blog...kwa hiyo hilo sio la kushangaza.....kwanini ajichanganye na watu wenye maneno hivi kama wewe.....oooh hh bishooo...ooooh kama wewe hujawekeza bongo .....ohhh ni biashara gani .....who cares....unamlisha wewe, au unamlipia mabills yake kila siku wewe....????? Unajali nini kwa biashara yake.....Kiswahili murefu tuache jamani mambo mengine yanakatisha tamaa sana...

    ReplyDelete
  9. MICHUZI HUYU ALIYETUMA HII MWANAMKE AU MWANAUME????KAMA MWANAMKE MWAMBIE ATAFUTE BWANA NA KAMA MWANAUME ATAFUTE MKE KWANI NAONA KADATA AJUI ANASEMA NINI.MDAU 00316.

    ReplyDelete
  10. Mimi huwa nacomment humu kila siku lakini je kuna mtu aweza jua umri wangu? Grow up guys acheni utoto age aint nothing but a number kudadadek!!

    Tena basi nyie mnaomaind age mtakufa siku si zenu, kwa kuworry too much about your age!

    Halafu hii blog imewekwa kwa ajili yenu peke yenu ambao bado ni twinies au? Mnajijua matweenies na sio mateeneger. Tena hao matweenies ndio wana tatizo kubwa la age identity especially wakikaribia kufikia thirties! Mara nyingi huhisi kuwa maisha yanaenda na wao hawaja- achieve chochote na thirty hiyo ndio inapiga hodi!

    Sasa mtu afikirie na kutaja age yangu hapa. Kama bongo flava nainyaka na midundo yote ya sasa hivi. Nikitaka I can be 20, 30, 40, 50. To me age aint nothing but a number!!

    So give him a break, na nina uhakika humu atawapata mabitoz wenziwe waliokuwa wanajirusha kwa DJ Kali Kali enzi hizo.

    Man dont mind this hatters! wengine wanaona wivu tu humu ndani sijui nani kasema Wanyaturu, duh amenifungua macho kweli maana mie nina jirani wa kabila hiyo basi huwa hata siwaelewi elewi huwa nawaona tu kama controlling freaks!!Kumbe ni kijiba cha roho lol! blogu ya Michuzi imenipa somo kubwa leo!!

    ReplyDelete
  11. annony wa mwisho umenifurahisha sana.Mi nadhani kuna watu huko bongo wenye access ya internet wanaandika ujinga na chuki binafsi kwa watu walio ugenini.wewe kama upo bongo na mambo yako ni mazuri hongera zako lakini usimchukie mtu kwasababu yuko ugenini. YOTE MAISHA !!!DONT HATE PEOPLE BECAUSE THEY HAVE A PRIVILLAGE TO GET EXPOSURE SOMEWHERE ELSE AND YOU DONT!!!maisha yake sio kazi yako wewe chukua ndoo ukachote maji ya kuoga na familia yako.

    ReplyDelete
  12. jamaa umejichambua vizuri na shangaa wadau hawajakushambulia kama walivyo mgombania chibiliti.sio mbaya mimi kama mtoto mdogo nimefurahi sana kujua neno bitozi limetokana na the beatles. kaka michuzi nakuomba kama unameneno mengine kama haya unajua mzizi wake naomba utupe maneke wengi ndio kwanza tumezaliwa mia ya 1990 siunajua mtoto w aliyezaliwa 90 nae mkubwa siku hizi.

    ReplyDelete
  13. Katoto wewe old azz usijifanye ni young
    Na wewe usiye jichanganya na waBogo, Siku ukifa na huna Insurance usisumbue watu tukuchangie tukurudishe bongo, maana mmezidi manajifanya babu kubwa na kujitenga mkipatwa na matatizo ndio mna tafuta msaada koma kabila ebo!

    Kwanza sijaona mtu yeyote wa maana anajitenga, watu wote ambao wa maana ni wanaonekana kwenye Jamii,wanao jitenga wengi ni kwamba wana matatizo na niwanaona aibu uonekana au uwezo wa kipesa sio mzuri inabidi apige box sana na muda wa kujirusha hana.

    ReplyDelete
  14. mjinga wewe na hao wanaokusupport kwani uliondoka tanzania ukiwa na umri wa miaka miwili kama ulimaliza school ta basi huwezi kusahau lugha yako hata kidogo huna lolote na wabongo wamejaa huko maryland kibaooooooooo ni state yenye wabongo wengi hata sehemu wanazofanyia kazi huwa na wabongo wengi. bora ya sie tulio colorado ungejitambulisha basi pengine wewe ndio rais wa wabongo hapo kwenu umedata wewe.

    ReplyDelete
  15. Wewe 9:09 speak for yourself. Wako wengi tu hawajichanganyi na wambeya na hata mimi ni mmoja wapo.

    Kama tunaojitenga tuna matatizo sawa tu.

    ReplyDelete
  16. Hebo acha ujinga,we ni mkimbizi wa siku hizi hizi babu...unajifanya ulitoroka wakati wa enzi za Mwalimu lakini nasaha yangu ni 'Mwacha asili ni mtumwa.He who renounces his ancestry is like a slave.'
    Na sie hapo tulizaliwa jana tu!!!

    ReplyDelete
  17. Bitozi,

    Wewe kama Bitozi na uko US naweza kukuhisi ni Bitozi nani?

    Lakini kumbukumbu zako umewaacha Mabitozi wa Magomeni, Upanga, Sea View na Chang'ombe. Sea View, The Bar Keys siku hizi The Tanzanites, Les Strokers, na Bar Locks. Kina Toroha Mohamed Toroha, John, George, Amato, Abraham, Pepe, MacChid Stix, Yona, na Monk. Maharages. Lukindos. Maxs. The Galinomas kina Kipingo, Ben, na Inno. Chopetas; Emmanuel na Vincent. Abraham vingoko, Ned Nombo, na The Chirwas. Kassim Magati, Abby Sykes. Brother Kiss na mabitozi wa Chang'ombe kina Mbitta na the Omaris, Dick Unga na wengineo. Wale Wakenya wa Coments na baba yao.

    Halafu umesahau Cozzy cafe, Dolphines, Whimpy, Alechino, Snow Cream, Terracy na Patio Bar New Africa Hotel, Topaz, Sabasaba ground, posta ya zamani, juu ya ukuta wa NBC city Branch, Zena bar, Railway Club.

    Ngumi na football; Tambaza, Forodhani na Azania.

    Moreover, miziki ya enzi hizo: Osibisa; Fire, Oyayo, Happy Little Children, We are Going. Kirk Douglas; Kungfu fight. Manu Dibango; Soul Makossa, New Belly, Sessa Molo. Jingo; Love to love you darling (you give me fever). Jimmy Cliff: Look at The Mountain. John Nash; I can see it clearly. Millie Jackson; Feelin' Bitch. Jackson 5; Maria.

    Gone are the days. I am getting older and older but happier and happier with my 5 children. One of them very rude but doesn't know 30 years back his daddy was known all over Dar and his mum got him then.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...