kuna mdau huko botswana kaniahidi kuniletea zawadi ya mwaka mpya (pichani) baada ya kusikia sina simu yenye kamera. mdau asante kwa ukarimu wako na naisubiri kwa hamu zawadi hiyo kw mwaka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hi

    malkial@hotmail.com

    ReplyDelete
  2. safi sana mdau wa botsana kwa kuligigundua hilo tatizo la bwana michuzi.hiyo simu itamfaa sana kwani kutakuwa hakuna haja ya kutembea na kamera kwa huyo simu inamtosha kabisa

    ReplyDelete
  3. micuzi hiyo camera mbona ni mkangafu,HUTAWEZA ITUMIA

    ReplyDelete
  4. Michuzi,

    Mimi nitakuletea na kinyolea ndevu ili iwe na 3 functions-picha, simu na devu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...