Home
Unlabelled
zenj
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bwawa la maini limekuwa dimbwi la utumbo.Sasa watu hawazungumzii ubingwa bali nafasi ya nne ili kuqualify kwenye Champions league.Bila kumfukuza huyo kocha wenu na kumleta Maurinho itakuwa maumivu kila mwaka.Afadhali bwana kelele zimepungua.
ReplyDeleteWe michuzi huo mpira ukivunja kamera yetu, sie mchango hatutoi ng'oo
ReplyDeletekaka michu tahadhari kama atatokea mlevi na kuamua kuchoma hizo nyasi mtawaka nyote pamoja na camera zenu lol.
ReplyDeleteUmeharibu bwana michu,kele za chura hazimzuii kenge kuogelea na kuvinjarivinjari bwawani.Mbona umeivua tena ile jezi yako.Ama na wewe waogopa maneno ya watu.
ReplyDeleteBwana huyo mwenzako kavaa nini sasa?gauni au blauzi?
ReplyDeletemmh Kaka Michuzi wewe mchapakazi sana, yaani mpaka kwenye vekesheni unaendelea kufanya kazi?
ReplyDelete