vekesheni zenj

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Bwawa la maini limekuwa dimbwi la utumbo.Sasa watu hawazungumzii ubingwa bali nafasi ya nne ili kuqualify kwenye Champions league.Bila kumfukuza huyo kocha wenu na kumleta Maurinho itakuwa maumivu kila mwaka.Afadhali bwana kelele zimepungua.

    ReplyDelete
  2. We michuzi huo mpira ukivunja kamera yetu, sie mchango hatutoi ng'oo

    ReplyDelete
  3. kaka michu tahadhari kama atatokea mlevi na kuamua kuchoma hizo nyasi mtawaka nyote pamoja na camera zenu lol.

    ReplyDelete
  4. Umeharibu bwana michu,kele za chura hazimzuii kenge kuogelea na kuvinjarivinjari bwawani.Mbona umeivua tena ile jezi yako.Ama na wewe waogopa maneno ya watu.

    ReplyDelete
  5. Bwana huyo mwenzako kavaa nini sasa?gauni au blauzi?

    ReplyDelete
  6. mmh Kaka Michuzi wewe mchapakazi sana, yaani mpaka kwenye vekesheni unaendelea kufanya kazi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...