Home
Unlabelled
baba na mama wa pinda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tunataka maisha bora ili watanzania life expectancy iongezeke na kufikia kama hawa wazazi wa waziri mkuu-Pinda.
ReplyDeleteThe couple realy seems to be Down to earth,considering the Son being a civil servant(In state house-Security)for 22yrs!!,and the fact that He(Mr.Pinda)worked under 3 different Head of States that somehow tells you He is Disciplined.
ReplyDeleteGood Choice JK-i salute You!!
Mmh ! Baada Ya Miezi Sita Huwajui Tena Hao Watakavokua Soapsoap
ReplyDeleteDu kweli si mchezo. Picha ya wazee inaonyesha kweli jamaa ni mwaminifu kwa serikali. Sipingi kwamba alifanya(alifundishwa) kazi na Julius.
ReplyDeleteHonestly,jamaa anaonekana kutowa mfisadi,wazazi wae wako very simple.Ni kiongozi bora
ReplyDeletesasa huyo wa tatu ni michuzi au?
ReplyDeleteHuchelewi kukuta Kikwete aliwaambia za saa hizi wazee badala ya kuwashushia SHIKAMOO kubwa na ya haja hao wazee.
ReplyDeleteDuh...wazee hao wa vijijini wamepigwa na kiwewe kukutana na Sultan wa Taifa yaani Kaka Msafiri...ilikuwa enzi za wakoloni wakati hao wazee ndio mwisho walisalimiana na wavaa masuti...jamani mambo yamebadilika hapo Ubongoni!!!
ReplyDeleteMungu kama amekuandikia Yes, ni Yes tu. Huyu Waziri Mkuu amezaliwa tarehe 12 August 1948 na wazazi wake wote (Baba na Mama) bado wapo hai hadi leo. Mungu akupe nini ndugu yangu?
ReplyDeleteKweli Waziri wetu mkuu na Wazazi wake wamebarikiwa. Sio wala rushwa, sio watu wa dhuluma. Hata biblia inasema "Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, MUNGU wako.
huwezi jua kuwa huyo wa tatu ni mkalimani maana kwetu chala au kalambanzite...still kiswahili si sana..aahh mwati uli michuzi...ahh kwa cheleeee...
ReplyDeleteAnko Michu,
ReplyDeleteJamaa alipokuwa anaigiza bungeni siku ya Ijumaa jioni alisikika akisema angependa wazazi wake wawepo wakati wa kuapishwa kwake, hakuwa hata na imani kama redio ya kijiji ilikuwa na betri kuweza kutoa habari hizo. hivi, walikuja kwa usafiri gani toka mpanda?manaake huko ndio jua huzama na usafiri huko ni taabu.
Mdau
PM lete maendeleo beach zote za lake Tanganyika uzawa ndio unamfanya zitto akufurahie. Hoteli zote za kitalii za serengeti zihamie mikoa ya Tanganyika zone
ReplyDelete