
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisubiri kuapishwa kwenye ikulu ya Chamwino mjini Dodoma jana. Wengine kutoka kulia ni Makamu wa Rais, Dr. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar, Amani Karume, Waziri Kiongozi wa Zanzibar,Shamsi Nahodha , Spika wa Bunge, Samwel Sitta, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika
Sio waziri mkuu aliyestaafu muheshimiwa Michuzi, sema Waziri mkuu aliyejiuzuru. Narudia tena kusema amestaafu nikumpatia heshima ya nishani.
ReplyDeleteHuyu Pinda sio mchezo, kwanza yeye mwenye Kapinda, pili hacheki, tatu amekaa mkao wa hasira kama mwanajeshi...safari hii iko kazi
ReplyDeletemwambieni waziri mkuu mpya awe comfortable tupo naye pamoja
ReplyDeleteHUYU SIO WAZIRI MKUU MSTAAFU, WAZIRI MKUU ALIFUKUZWA, ILA KUPPOZA TUNASEMA AMEJIUZULU. JK ALIMWAMBIA JIUZULU KBLA SIJAKUTIMUA IWE AIBU. UKISEMA WAZIRI MKUU MSTAAFU INA MAANA BALALLI NI GAVANA MSTAAFU
ReplyDeleteWe michuzi vipi? Huyo ni waziri mkuu mjiuzuru! Kha... mbona wamgea heshima kubwa?
ReplyDeleteNina maswali mawili kuhusu Waziri mkuu aliye jiuzulu.
ReplyDelete1.Anatafuta nini hapo kwenye hiyo sherehe wakati yeye siyo waziri Mkuu.
2. kwanini asiachie ngazi ya Ubunge? wakati ameshindwa kuwawakilisha wananchi wa jimbo lake.
Ndio, ni waziri mkuu aliyestaafu kw manufaa ya umma!!!!!!
ReplyDeleteHuyu Lowasa amekaa hapo kama hapo kama nani?
ReplyDeleteHuyu mtu aachwe kuitwa Waziri Mkuu Mstaafu, anapaswa kuitwa Edward Lowassa, basi! Na kafuata nini hapo? Michuzi tusiivunjie nchi heshima, mtuhumiwa hawezi kutukuzwa.
ReplyDeleteMh. Peter Kayaanza Mizengwe isiyo Pinda.
ReplyDeleteYaani Mkuu, kweli you look like a 'mean machine' with little tolerance for nonesense!
Tunakutakia kila la kheri kwenye wadhifa wako mpya.
JAMANI NDUGU NA WASOMAJI WA BLOG HII, SIMTUKANI MICHUZI WALA SISEMI KWA NIA MBAYA.
ReplyDeleteHUYU JAMAA KISWAHILI NOT RICHABO KING'ENG'E NOT TACHABO. KWA HIYO HATA MKIJITAHIDI VIPI KUMSAHIHISHA MNAPOTEZA MUDA WENU BURE.
UKITAKA KUJUA UKWELI HALISI WA KICHWA MAJI CHA HUYU JAMAA, NENDA KAMUULIZE MWALIMU WAKE WA KISWAHILI NA KIINGEREZA (LUGHA) WA SHULE YA MSINGI.