jk akiagana na Balozi wa Saharawi nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mheshimiwa Habiballah Mohamed Abdallahi wakati alipokwenda kuaga ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Jiografia yangu imekaa vibaya ndugu, hivi Saharawi ni wapi? Sahara Magharibi?

    ReplyDelete
  2. Sasa hyu naye mambo gani ya kuvaa mashuka..tabu kweli kweli watu wengine!

    ReplyDelete
  3. wewe michuzi saharawi ndio nchi gani hiyo?????????

    mbona uantupa taarifa nusunusu?? eleza kitu kwa umakini hiyo nchi ndio kwanza naisikia. labda wadau wanisaidie maana hayo mavazi sijui ya kinaijeria au kiarabu au kihindi au kijapani. naopata tabu kuelewa

    ReplyDelete
  4. Kuhusu Saharawi soma hapa: http://www.wsahara.net/wsgeo.html

    ReplyDelete
  5. Na wewe nini.. jamaa kavaa vazi la utamaduni wao wa Saharawi unaanza kuuliza mara Wahindi, Wajapani wanaijeria...at least anadumisha utamaduni wa kwao...mwalimu Nyerere alisema Taifa bila utamaduni ni sawa na taifa lililokufa! utamaduni ni Mavazi, dini,lugha...sasa ulitaka avae nini suti??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...