Home
Unlabelled
bendera azindua kili super cup
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona wanja la mabati?ahhh wakati wa jua kali si mtaungua na kupata kensa???mbona bado hatujaendelea wakati wenzetu wana vivanja kabambe vya kisasa...misaada yote inakwenda wapi????
ReplyDeleteSamahani michuzi comments zangu hazihusiani na picha uliyopost.
ReplyDeleteNilikuwa naomba wadau wanisaidie ninahitaji kusafirisha vitu(vitabu, cds, na research papers n.k) kutoka USA kwenda bongo Sasa nimekwama njia ya kutumia nikitumia posta kwa maximum size ya box linalokubaliwa na posta USA kama package naona nitatumia mabox mengi sana pia nikisema niweke kwenye box kubwa na nitume kwa meli naona nitalazimika kupitia process gumu ya kuclear mzigo huo bandarini wakati hivi ni vitu nilivyokuwa natumia katika masomo yangu huku (USA) na sasa nimemaliza masomo nataka nirudi nyumbani. Pia siwezi kusafiri navyo maana pound zinazoruhusiwa kwenye ndenge ni kidogo.
Wahenga walisema kwenye wengi hariharibiki neno naamini wadau watanipa mawazo ambayo yatakuwa ya msaada kwangu.
Asante
Mdau
super cup ilikuwa inanoga kichizi, enzi za kina Dulla, Makene, Salum Kibichwa, Bategeki, Mukolo Ngoyi. Aibuu.
ReplyDelete