naibu waziri wa habari, utamaduni na michezo mh. joel bendera akizindua michuano ya kili super cup basketball leo uwanja wa ndani wa neshno
mchezaji wa chang'ombe boyz anakwenda dauni huku akiwa amezingirwa na wachezaji wa jkt kwenye mechi ya ufunguzi leo uwanja wa ndani wa neshno

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mbona wanja la mabati?ahhh wakati wa jua kali si mtaungua na kupata kensa???mbona bado hatujaendelea wakati wenzetu wana vivanja kabambe vya kisasa...misaada yote inakwenda wapi????

    ReplyDelete
  2. Samahani michuzi comments zangu hazihusiani na picha uliyopost.
    Nilikuwa naomba wadau wanisaidie ninahitaji kusafirisha vitu(vitabu, cds, na research papers n.k) kutoka USA kwenda bongo Sasa nimekwama njia ya kutumia nikitumia posta kwa maximum size ya box linalokubaliwa na posta USA kama package naona nitatumia mabox mengi sana pia nikisema niweke kwenye box kubwa na nitume kwa meli naona nitalazimika kupitia process gumu ya kuclear mzigo huo bandarini wakati hivi ni vitu nilivyokuwa natumia katika masomo yangu huku (USA) na sasa nimemaliza masomo nataka nirudi nyumbani. Pia siwezi kusafiri navyo maana pound zinazoruhusiwa kwenye ndenge ni kidogo.
    Wahenga walisema kwenye wengi hariharibiki neno naamini wadau watanipa mawazo ambayo yatakuwa ya msaada kwangu.
    Asante
    Mdau

    ReplyDelete
  3. super cup ilikuwa inanoga kichizi, enzi za kina Dulla, Makene, Salum Kibichwa, Bategeki, Mukolo Ngoyi. Aibuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...