hawa ndiyo wanaounda bodi ya wadhamini ya tamasha la kila mwaka la sauti za busara. toka shoto ni dj yusuf, ahmed juma, hildergard kiel, emerson skeens, simai mohamed said (mwenyekiti), waziri ally, yusuf ahmed alley 'bwan'chuchu' na ruge murahaba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. NI NANI ANAECHEKWA HAPO????!!!

    AU NANI ANAMCHEKA NANI???!!!

    TUAMKE KUNGALI MAPEMA, TUJUE MATOKEO YA TUNAYO YAFANYA.

    TUFIKIRI NA TUTAFAKARI SANA

    ReplyDelete
  2. Ruge naye kama michuzi hiyo tshirt anaipeeeenda utafikiri aliambiwa na mganga wa kienyeji awe anaivaa kila siku michu mshauri na mwenzio mkazichome moto

    ReplyDelete
  3. Ahh Bw. Chuchu nakumbuka zama za chuchu sound na vibwagizo vyake, hadi raha - Kula nanasi kwahitaji nafasi jamani -- ahhhh kwaheri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...