Home
Unlabelled
buffalo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli ni mazuri lakini Engine ya LORRY
ReplyDeletehapo kweli nakubali ...ilaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hiyo kampuni inaongoza kwa kukimbiza from DAR to ARUSHA...hilo je bado lipo maana kuna kitu kinaitwa CENTER OF GRAVITY kila kizuri kina kasoro zake hayo mabasi yana HIGH CoG so wawe makini wenzao huku wameyalimit sasa sijui bongo !!!!
ReplyDeleteAll in all nice investment & eye pleasing
HAYA BWANA, BASI NI ZURI, WE No. 1 SASA HIVI WANAZINGATIA VIWANGO, UMESAHAU KWAMBA TUMEAMBIWA MAY NI MWISHO WA ENGINE ZA MALORY???
ReplyDeleteLABDA....., LABDA KWENYE KA MWENDO, HAPO CHACHA........!
Michuma hiyo ni bomba mbaya ila tatizo ni mkifika karibu na mizani ni lazima nusu ya abiria mchome kwenye chai maharagwe a.k.a dala dala (dar) a.k.a mzunguko (mbeya) a.k.a matatu (kenya) a.ka.a vihondombi (iringa)taxi (kwa mzee madiba bondeni)ili kuepusha balaaaaaaaaa....
ReplyDeletesijui hufanya hivyo kwa nini?? WHY?!!!!@@!!!!!
kumbe ndio nyati huyo siyo?mapembe gilasi tupu,manaake akigongana na chuma tupu yaani scania basi ndio hivyo...majeraha hospitali mahututi...ukweli ni hapo TZ tunachotaka ni buleti treni,mmoja kwa mmoja bila breki,pembe au nyati!!!
ReplyDeleteKuna boy nzuri zaidi ya hii mfano Marcopolo na irizah (dar xpress) hii body sijui ni ya kichina maana imekaa kiajabu ajabu
ReplyDeleteNo way tachane na hiyo, kuna dereva wa Buffalo a.k.a MNYAMA anaitwa mfinanga alikuwa anaendesha ile mende hivi bado yupo? jamaa alikuwa kiboko kwa mbio utadhani ana roho ya plastiki. lakini alichemsha baada ya ngorika kutoa zile 124G mayai zenye retarder & fuller gear box
MICHUZI WEWE SASA KILA KITU NI 2-0 TOKA JANA.HATA BUFFALO UNALIFANYA SAWA NA BWAWA LENU,POA MKUU
ReplyDeleteRichmond: Students to demonstrate
ReplyDelete2008-02-20 09:55:42
By Felister Peter
Students from all higher learning institutions will take to the streets on Saturday to protest against corruption in the government system and hiked power tariffs.
Speaking to journalists in Dar es Salaam yesterday, the Secretary General of the Tanzania Higher Learning Institutions Organization (TAHLISO) Mtatiro Julius said they would pressure the government to reduce power tariffs which he said had become a burden to a common man.
He said it was an open secret that the Tanzania Electricity Supply Company (TANESCO) had been forced to hike power tariffs so as to raise money for paying the briefcase electricity generating company known as Richmond Development Company LLC, and its accomplices.
Dowans, the heir to Richmond?a dubious company contracted to generate power in 2006?is collecting 152m/- per day from public coffers.
Tanesco hiked power tariffs by 40 percent in November last year for the 2008 and 2009 period, an increase which students believe was affected to enable the country`s power utility company foot Richmond`s grossly exaggerated bill.
``The government is taking a wrong track by continuing to milk its poor citizens. People must be given time to strive for better living conditions and not struggle to pay power tariffs,`` said Mtatiro.
Tanesco has also hiked its service line connection charges to new customers by 100 percent.
The management of the power utility firm has demanded a 40 per cent tariff hike, otherwise the company will fail to roll out and connect power to both its domestic and commercial customers.
Mtatiro said students wanted to shout at corrupt leaders who used public office to further their personal interests.
The amount of money that was swindled at the Bank of Tanzania (BoT) would have supported a million of orphans, patients and students.
He said a total of 133bn/- that were swindled at BoT through the External Payment Accounts (EPA) by 22 companies would have been of use in other development projects.
Mtatiro said students from higher learning institutions must stand up and speak for the majority poor.
He said they couldn`t tolerate seeing the nation remain poor for the sake of a few people who signed dubious contracts.
He said students would always join hands with people who were in the frontline of the battle against graft.
The demonstrations will be staged in regions of Arusha, Kilimanjaro, Mwanza, Mbeya, Iringa, Dodoma, Morogoro, Dare Salaam and Unguja in Zanzibar.
He said lecturers and students from primary and secondary schools and other tertiary institutions would also take part.
``The centres as to where the demonstrations will start will be announced tomorrow. TAHLISO will on the same day give its stand on both issues,`` he said.
Kushusha abiria kwenye mizani haiko kwenye bufalo tu. Dar ekspress pia ni hivyo hivyo. Sijaelewa hapa anayedanganywa kwamba gari halijazidisha uzito ni nani! Maana askari wa usalam barabarani wanalijuwa hili, Tanroads wanalijuwa, abiria wanalijuwa. Kama linajulikana na kila mtu kwa nini watu waasiachwe waendelee na safari kuliko kushuka kupunguza uzito kwenye mizani tu wakati urefu wote wa safari uzito ni zaidi ya inavyotakiwa. Are we serious?
ReplyDelete