uamkapo mapema alfajiri sehemu za a-taun ama mo-taun ukungu ni kama kawa. hapa ni sehemu za usa river

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. mmmh,kaka michuzi ukiosikia kwamba ndege zimeshindwa kuruka heathrow kwa sababu ya fog,ndio mambo kama hayo kaka,huku ulaya ni mambo ya kawaida kaka!inakuwaje hali kama hiyo kisha unamwona mtoto mzawa amepiga kaflana tu anadunda mtaani!

    ReplyDelete
  2. Nakataa Mdau wa hapo juu unaposema "huku ulaya hayo ni mambo ya kawaida" nimekaa ujerumani miaka minne na uingereza miaka kumi na moja but still couldnt say fog is an everyday thing... lakini Arusha Fog wanayo more often than most countries in the west. Na pia kuwa na fog hakumaanishi baridi ya kufa mtu... One!

    ReplyDelete
  3. Ikisikia wanasema fulani hakwenda shule sababu ya "kuogopa umande" hii ni sampo yake tu. Now imagine wanazuoni wa enzi hizo wakikatiza na "katambuga" kwenye "barabara" zilizozungukwa na "misitu" mizito na ya kugofya adhuhuri na mapema kuwahi darasani. Usinune ukiona wamevimbiana kwenye mashangingi yao leo....Then angalia wanaoenda mashule karne hii ki-ubwete....na pengine kuchelewa mashuleni vilevile. Wallah "picha inazungumza maneno....." Kaka Michuzi nawakilisha. Kaka Yenu.

    ReplyDelete
  4. umenikubusha mbali kaka michuzi, nakumbuka home sana, yani hapo usa river ni kwa wakwe zangu wakizungu nisalimiye mrs reading,mama la kichaga limeolewa na mzungu na kuzaa vizungu na mimi kujipatia mume. yani wacha home sweet home jamani ulaya utumwani kabisa yesu wangu

    ReplyDelete
  5. jamani kaskazini kama ulaya...hali ya hewa kusafi,watu wana roho nzuri nzuri basi tena..yaani kuna rahaa wee acha tuu..
    kyekuu Norway

    ReplyDelete
  6. Hello Kaka Michuzi...Shimboni mbee!!
    Kwa kweli nakupa pongezi kwa blog yako... tunapata latest news... Naifurahia sana japo sijawahi kutuma maoni yangu... Lakini lililonifurahisha zaidi leo ni hilo la kuonyesha picha za A-town..Umenipa msisimko... Nipo Bongo basi umenikumbusha nyumbani sana sina raha natamani kwenda nyumbani...
    Eee Ruwa!! Ruwakondumi!!!Kwa kweli kwa kweli nilijihisi nimefika Arusha lakini kuja angalia vizuri nikajiona nipo Bongo...Nakushukuru sana kumulika nyumbani kwetu...Aikambe!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...