bunge limeanza dodoma na jina limeshaletwa la waziri mkuu mteule. tutamjua wakati wowote toka sasa. fanyeni subira. ila itabidi wabunge wapige kura kuunga mkono uteuzi huo na hivi sasa spika anatoa maelezo hayo.
Ni mizengo Pinda waziri mkuu mpya!!!!
Ni mizengo Pinda waziri mkuu mpya!!!!
naona Kikwete ameamua kuwapatia usalama wa taifa hii nafasi. Sijui maisha yatakuwaje Tanzania. Mungu turehemu na huyu baba ambaye amefanya kazi usalama wa taifa.
ReplyDeleteTayari tulishajua kuwa Mizengo Pinda. Huyu mtu wa Usalama. Sasa anza kujipanga JK.
ReplyDeleteTUMECHOKA NA SURA ZA WANAUME JAMANI MBONA HAMTUPI WANAWAKE TUMEWAKOSEA NINI AU IS IT A CRIME TO BE A WOMAN MTABAKI NAMATATIZO YENU YA UFISAIDI HIVI KILA SIKU
ReplyDeleteASANTE KAKA MICHUZI, NAOMBA CV TUU YA HUYU NDGU TAFADHALI ILI TUPATE MWANGAZA KIDOGO TUNAELEKEA WAPI?
ReplyDeleteWeekend hii naona Bagamoyo kutakuwa na msafara mrefu sana.....
ReplyDelete.... K I C H W A ....!!!!
ReplyDeletekwa mnaomjua tupeni cv yake tafadhali
ReplyDeletefdl
Yes!! SASA TUMEPATA WAZIRI MKUU! NAMKUMBUKA SANA HUYU SINCE WAKATI WA MWALIMU NYERERE! LETS WAIT NATUMAINI WABUNGE WATAMPITISHA. ASANTE MHESHIMIWA RAIS KWA YOTE.
ReplyDeleteNaomba kumjibu anon hapo juu
ReplyDeletekielimu ni Graduate
kazi yake ilikua mZee, shushushu, nyoka
Bora lakini ameweka KGB nchi itakwenda na sio mfanyabiashara