Michu!!

Mbona mi nikijaribu kutuma maoni kwenye blog yako inakataa?
Hainipi option ya kusend.

Sasa nimeamua kukutumia e-mail ili nitoe maoni yangu juu ya swali lako kuwa kama mimi ningekuwa JK ningemchagua nani kuwa waziri mkuu.

Mimi ningemchagua huyo huyo aliyewakomelea wenzake msumari wa MOTO kwani ana courage ya kutosha ya kuzungumza lolote na mtu yeyote na pia inaelekea akitumwa kazi anaifanya ipasavyo.

Hapa namzungumzia Dr. Harrison Mwakyembe!!!!!!!!!!!!!

Tafadhali usitoe address yangu,
just call me Mdada

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hata mimi nilishindwa kutuma maoni yangu kwenye hii site sasa s´naona mambo safi
    Ndio Michuzi nakuaminaia kwa Breaking News ,Sasa umeshatoka huko Zenji? ,Rudi utupatie JUST IN Zikiwa za Moto ,Mimi Kwa sasa niko AUSTRALIA lakini nafuatilia kwa makini haya mambo.
    Kwa upande wangu napendelea Mheshimiwa MAGUFURI awe PM kwa vile ni Mchapakazi , shupavu wa kuongea ukweli hamuogopi mtu wala kumkingia kifua .WAAAAA MAGUFURI .
    Dr.Mwakyembe yeye abaki hapohapo kutunyofolea mmoja mmoja

    ReplyDelete
  2. Sawa sawa Mdada. Hatutaki watu waoga! Hata huyo Kikwete mwenyewe ni muoga wa kwanza.

    ReplyDelete
  3. Hizi ndio zile digrii za waheshimiwa wetu wengi sana.

    F A S T T R A C K D E G R E E P R O G R A M


    Obtain the degree you deserve, based on your present knowledge and life experience.
    A prosperous future, money earning power, and the Admiration of all.
    Degrees from an Established, Prestigious, Leading Institution.
    Your Degree will show exactly what you really can do.
    Get the Job, Promotion, Business Opportunity and Social Advancement you Desire!
    Eliminates classrooms and traveling.
    Achieve your Bachelors, Masters, MBA, or PhD
    in the field of your expertise
    Professional and affordable
    Call now - your Graduation is a phone call away.
    Please call:

    +12063502402

    ReplyDelete
  4. Vegetarian kwa kiswahili safi "MBOGA MBOGA" zaidi afike morogoro hatapat mboga kweli katika milima ya matombo na mgeta

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...