American President George Bush arrived in Tanzania last evening to a rousing welcome at the airport and by Dar es Salaam residents, who had lined up the streets for more than five hours to catch just a glimpse of his motorcade.
His visibly thrilled host, President Jakaya Kikwete, and First Lady Salma Kikwete, received President Bush and his entourage at Julius Nyerere International Airport, where normal activity came to a standstill during the welcoming ceremony that took about an hour.
The entire Cabinet, including Vice-President Mohammed Shein, was at the airport as Mr Bush began his four-day State visit.
Air Force One touched down at exactly 6.30pm.
Mr Bush was accompanied by First lady Laura Bush and Secretary of State Condoleeza Rice.
He was given a 21-gun salute and the National Anthems of the two countries played by members of the TPDF.
Later, President Bush, who was dressed in a navy blue suit, white shirt and red tie just like his host, inspected a guard of honour.
He also sampled Tanzanian culture as a variety of cultural troupes entertained him at the airport. The US President danced and hugged two dancers as he made his way to the motorcade, comprising specially airlifted Cadillac limousines that drove him to the city.
He arrived from Benin and will leave on Tuesday for Rwanda.
It was a show of might at the airport from the time the two-plane entourage arrived up to when the two-kilometre long motorcade sped to the city centre.
US and Tanzanian security personnel kept everything at the airport under check.
City residents who had gathered along the route from the airport were forced to trek long distances as daladalas were in short supply due to the closure of some roads as part of the security arrangements for the visiting American leader..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. They look sharp.
    Kikwete gharama ulizo ingia kumleta huyo jamaa najua tumerudi nyuma miaka 20 kiumaskini Mungu saidia TZ

    ReplyDelete
  2. Kuna sentensi hapo moja imenichekesha sana, ya kwamba Rais bush akisindikizwa na waifu wake na mama. Condy !! Kweli Mzee Bush ni mwanaume wa shoka mana na Uozo wote alioufanya marekani na sehemu tofauti za dunia alizopitia, bado yuko madarakani mpaka leo hii na bado anagawa siku mpaka akiwa safarini !! ndio najua nimesema anagawa siku mana bibi laura ni mke halafu mama Condy nae ndio kimada ama mke mdogo ingawa hana ndoa na ndio alioshika akili ya rais kwa maana ya kwamba ki- undani marekani inaongozwa na huyo mama.!! Ushauri wangu tuu ni kwamba Mama Salma ningekuwa mimi wewe hizi siku tatu ningemtosa Laura nikadeal zaidi na Condy, mana huyo ndio msaini cheki !!

    ReplyDelete
  3. he arrived from Benin and will leave on Tuesday for Rwanda????? what? mhhhhhhh jamani mie sijui kingereza ila hiyo sentensi kwamba: on Tuesday for Rwanda? kama ni kingereza tuu ndio kinachotakiwa katika uandishi wa habari huko nyumbani basi narudi....naachana na habari za mabox...

    ReplyDelete
  4. hapa jk anaonekana kama yeye ndiyo mgeni, hii inaashiria hata kwenye maongezi atakuwa msikilizaji tu wakati 'bana kuba'akisema tunataka hivi na vile sawa? kama anaongea na katibu kata tu.

    ReplyDelete
  5. Muda wa Mzee wa vita unayoyoma,November sio mbali so he tries kuangalia how biashara zake zinakwenda hasa to third world countries...Mzee mtundu sana huyo!!!

    ReplyDelete
  6. Si mchezo Bush ndiyo huyooo ndani ya Bongo mbona siwaoni mkiandamana! Hebu jaribuni basi mpite hizo barabara zilizofungwa muone chamoto! Wenzangu subirini tupate hizo fedha angalau tuinuke kiuchumi!

    ReplyDelete
  7. Kwa mara nyingine tena nina jivunia kuwa mtanzakweli. Kwa experience niliyonayo huyu jamaa is very unpopular everywhere. Lakini tumeweka negative image aside tumeangalia positive side of this government. Tunaweza tukaandamana na kufanya fujo kuhusu ujio wake, lakini hiyo haitasaidia. Sehemu alizo na conflict nazo zina mali asili za kutosha kuliko sisi; hivyo kama tukikaa positive na kuwa makini na maendeleo yetu kwanza, nadhani tuko kwenye uelekeo mzuri. Kwani hata nchi za south Asia hazikuendelea kwa kuwa agressive to the superior ones, lakini walitulia na kujijenga kutoka katika umaskini uliosababishwa na vita (WWII, vietnam, korea). Pia kumbuka huyu jamaa (Kichaka) amewekeza hela nyingi Africa kuliko hata Clinton. Kumbuka nusu ya bajeti ya bongo inatoka kwa nchi tajiri. Just a reminder: kiwanda kikubwa cha kutengeneza net za mbu kiko Arusha, nchi nyingi sasa zinakubali kuwa tuna amani Afrika kuliko nchi nyingine.
    NOTE:Sikubaliani na vita vya Iraki, ila saddam hakuwa the good role model to the world community. Nadhani bwana Michuzi umeisha tembelea Dubai, hao jamaa ndio wanajua jinsi ya kutumia resources walizonazo.

    ReplyDelete
  8. President Bush, targeting disease and poverty in travels across the African continent, touted a soft-power agenda Sunday in Tanzania where he received a hearty, red carpet welcome by a crowd waving tiny U.S. and Tanzanian flags.Bush opened his second day in Africa in the seacoast city of Dar es Salaam, the capital of Tanzania, which represents the kind of place Bush is visiting on his six-day trip: a stable democracy that's grateful for U.S. health and economic aid.Bush, who arrived Saturday night to the delight of thousands ringing the roadside, met Sunday with Tanzanian President Jakaya Kikwete. Bush came with help in hand — nearly $700 million aid to help Tanzania build up its infrastructure. Bush also was visiting a hospital in the city center, discussing his anti-AIDS initiative and visit families of victims of the 1998 U.S. embassy bombing here.Unlike in the United States, where his approval rating hovers near his record lows, Bush is treated here with reverence. Men and women wear clothing bearing his image.
    Tanzania, where the economy is growing but many live in sickness and poverty, is the only country on Bush's tour to merit two days of Bush's time. Playing to audiences here and lawmakers back home, he is aiming to showcase U.S. compassion and the results it produces.
    Kikwete's prominence is on the rise as the new head of the African Union, and his session with Bush is expected to cover violence and repression in troubled Kenya, Chad and Zimbabwe.
    The two met in the president's historic residence, overlooking the Indian Ocean.
    The shadow of Kenya, just to the north, loomed large. Both parties in that nation's disputed presidential election — one that led to bloodshed — are working on a power-sharing deal. Bush is sending Secretary of State Condoleezza Rice to Kenya on Monday to back the effort.
    Tanzania, an agriculture-driven country of roughly 40 million people, is trying to broaden its ties to the U.S. across political, economic and military fronts. It is the latest country to reap benefits from the Millennium Challenge Account, one of the initiatives underpinning his trip to Africa. It provides U.S. aid to countries that govern justly, shun corruption, help their people and support economic freedoms.
    The nearly $700 million compact, which Bush is signing Sunday, is the largest in the program's history. Much of it will underwrite improvements to the country's transportation.
    Yet the timing is awkward, given all the emphasis on good governance.
    Just this month, Kikwete dissolved his entire Cabinet over a corruption scandal involving a contract with a nonexistent firm supposedly based in the United States.
    Tanzania is also one of the countries targeted by Bush's emergency AIDS relief effort, which has helped provide medicine and care to millions. More than two-thirds of all people infected with HIV live in sub-Saharan Africa. The region accounts for more than three quarters of all AIDS-related deaths in 2007.
    He began his African agenda in Benin in West Africa. After his time in Tanzania, Bush plans to visit Rwanda, Ghana and Liberia.

    ReplyDelete
  9. Mzee Michuzi nami nina yangu machache kuhusu ujio wa Bush. Hata sielewi nianzie wapi lakini kwa ujumla yanayotokea kuhusu huu ujio yananmishangaza na kuniaminisha kuwa watanzania baadhi TUMEOINDA. Nimepata taarifa kuwa Bush alivyoingia Dar mawasiliano yamekatwa hadi atoke, barabara zote anakopita zimefungwa. Sisi ni Masikini bado unafunga barabara ina maana tunaongeza umasikini maana uzalishaji unapungua kwa kiasi fulani. Ukichambua kwa kina utakuta hoja hii ni ya kweli. Sasa nimesikia hapa nilipo Arusha Bush anakuja na hivyo bara bara ambayo inahusika in main road na ikifungwa hata barabara zingine haziwezi kufanya kazi. Hii ni barabara ya Arusha Moshi hadi Kona ya Nairobi na huelekea Arusha airport.....kutoka Kilimanjaro International Airport. Sasa hebu jaribu kutafakari hii bara bara wanasema itafungwa kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tisa jioni. Hii ina maana gani kwa uchumi wa tanzania??? ina maana hata ikatokea kuna mgojwa basi asipelekwe hospitali maana BUSH yupo. Mimi nimefadhaika na hili. Hivi Bush ni nani??? Na swali la msingi zanid ni Hili: Raisi wa Tanzania anavyokwenda Marekani huwa inakuwa hivyo?? au ndo tunamuabudi wakati tunabaki kuendelea na hali ile ile ya uchumi??? Bush anaweza kutuletea utajiri tukaondokana na umasikini??? Huu ni muujiza ambao watanzania tuusahau maana hautatokea. Hatutakiwi kumwabudu kiongozi yeyote kama serikali inavyofanya sasa. Haya Naombeni ndugu zangu mniambie kama Alipokwenda marekani hapa majuzi alipokelewa kwa namna hii. Basi kama hakupokelewa kwa namna hii sisi ni hatuna akili au kuna kitu gani???



    Zaidi ya yote tujiulize, Bush amekutja Tanzania kwa ajili gani?? siku nne zote Tanzania??? anafanya nini??? Tufuatilie kwa makini>



    Naomba tujadili na tupembue kwa makini na mchanga utakaobaki kwenye sufuria tuuchambue pia.



    Natumai tutachangia sote tujue kilichokweli.



    Asanteni watoa maoni wenzangu/.

    ReplyDelete
  10. Jk alikuwa kajipigilia Bullet Proof vests za kufa mtu, check alivyotuna kwenye snepu ...

    ReplyDelete
  11. Patupu. Michuzi nitafsilie mwenzio, Hapo nimeambulia majina tu;Bush, Kikwete,Kondoleeza ingawa sina uhakika, Rwanda, Tanzania,Salma, Mohamed Shein,Dar es salaam na Daladala, Ufafanuzi tafadhari!!

    ReplyDelete
  12. safi sana, Mungu ibariki America

    ReplyDelete
  13. Dah michuzi umearikwa state house kuongea na mzee kichaka nini?kimya kingi kaka.

    ReplyDelete
  14. Naombeni kutoa wazo tu kama mtakubaliana na mimi. Ningeomba George Bush akiondoka,aondoke na Waziri wetu Mkuu aende nae Marekani wakam-PIMP kidogo reception, Plastic surgery muhimu.

    ReplyDelete
  15. Anony Feb 17, 3:13:00
    We ndo hujui chochote. kwanza hiyo comment inaonyesha imekopiwa toka kwenye news za kule kule US. hapo mi sioni kilichokosewa.. wewe utasemaje kwa ki inglish 'nitaondoka asubuhi kwenda shinyanga'? nikisesema 'I'll be leaving tommorrow morning for shinyanga' kuna kosa hapa? Kwa kiinglishi chako cha maimuna utasema 'I will be leaving in the morning to go to shinyanga' au sio?
    Achia wenye lugha zao kama hujui

    ReplyDelete
  16. sijajua ni mawazo yangu yamekaa vibaya au?/ lakini jamani hivi mnaona mama kikwete ni haki kweli kuvaa nguo yenya picha ya bush?? yeye ni first lady wajamini hebu changieni hili

    ReplyDelete
  17. Mama Kikwete kuvaa nguo yenye picha ya Rais Bush hakukosea.Ni kiashiria cha kumtoa hofu mgeni wake na kumhakikishia kwamba kama bado alikuwa hana uhakika basi sasa awe na uhakika kwamba wenyeji wao wako pamoja nao katika kipindi chote cha safari yao nchini.Na kamwe isichukuliwe kama ishara ya kutojiamini au dalili ya unyonge na kukosa ubunifu.Utakapo mtembelea rafiki yako ambaye hujawahi kufika nyumbani kwake hata siku moja ghafla ukamkuta akikupokea huku kavalia nguo au shati yenye picha yako utajisikiaje?Tuwe wakweli katika hili.Bila shaka utajisikia kwamba yule mwenyeji wako ameuthamini sana ule ujio wako na utajisikia upo nyumbani zaidi.Kama ulikuwa na hofu yoyote bila shaka itakutoka na utapenda kumsikia mwenyeji wako alikuwa na nini kipya zaidi cha kukueleza mbali na yale uliotarajia kuyasikia.Hicho ndicho alichokifanya Mama Kikwete na wenzake.Wala siyo yeye peke yake ndiye aliyevalia kiwalo chenye picha ya Rais Bush.Ni utamaduni wa Kitanzania kabisa kuonyesha furaha yako kwa mgeni aliye acha kazi zake na kukumbuka kuja kukutembelea na kujenga mahusiano bora zaidi.Ujio wa Rais Bush nchini Tanzania ni ushindi mkubwa sana wa Kidiplomasia kwa Rais Kikwete na Watanzania wote kote ulimwenguni ndani na nje ya nchi.Aliyekuwa anawachukulia Watanzania kimzahamzaha(those who have all along been taking Tanzanians for granted as caricatures and goodfornothings will have now woken up to the realities of the day,and said Just a minute!).Kama nilivyopata kusema huko awali kwamba under the leadership of Kikwete,watanzania sasa tunaanza upya na visheni(vision) mpya.Tuna masuala yetu wenyewe ya kuimarisha misingi ya demokrasia nchini na kutokomeza ufisadi wa aina yoyote.Hakuna simile katika hilo na Rais Kikwete atambue hivyo kwamba katika vita hiyo hayuko peke yake,jeshi la watanzania mitaani na majumbani liko nyuma yake.Pia Watanzania tuna African Agenda.Ajenda ya ukombozi wa bara la Afrika.Ili Tanzania isije ikafananishwa kama NGEDERE Itakapo letewa kesi ya NYANI,basi sisi wenyewe lazima tuanze kujisafisha katika nyanja zote za utawala bora na demokrasia ili hata hapo tutakapo takiwa kusuluhisha migogoro ya kisiasa kwa wennzetu Watanzania tutaifanya kazi hiyo kifua mbele kwa kujiamini zaidi kwamba wenzetu wanacho cha kujifunza kutoka kwetu.Hatulifanyi hilo kwa kutafuta sifa.Tutalifanya hilo kwa sababu hatuwezi kukubali kuwaona wenzetu katika nchi zingine za bara la Afrika wakiteketea bila ya hatia yoyote kwa kuchinjana ovyo kwa sababu ya vibaraka wachache wenye uchu na ulafi wa madaraka na kulifanya Bara letu la Afrika liendelee kudharauliwa na mataifa mengine na likizidi kudidimia katika lindi la umaskini huku likijaliwa na utajiri mkubwa wa rasilimali.Kila Mtanzania aone fahari katiak mafanikio haya na kwa pamoja tutafanikiwa!GOD BLESS YOU TANZANIA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...