mamia ya wadau wakimpokea rais george w. bush ikulu leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Huyo BUSHI mbona anasalimia kwa mkono wa kushoto!?!
    Si ZARAU hii?
    Enh! Si ZARAU?????

    ReplyDelete
  2. Wewe anon wa "Monday, February 18, 2008 12:19:00 PM EAT", Bush anachamba kwa kutumia toilet paper. Hatumii maji na mkono wa kuchoto. Kwa hijo ni sawa tu.

    ReplyDelete
  3. Utamaduni wa Marekani hauna mambo ya mkono wa kushoto au kulia. Mikono yote inaheshimika. Hapa kweli ndio utaona utamaduni unagongana :)

    SAC

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...