pamoja na kucheza ugenini na kubebwa ile mbaya na refa leo tumewasimamisha chelsea nyumbani kwao. mpira umeisha na mambo ni bila bila - wangechonga sana leo.... hahahaahah mboni raha!!!!
Home
Unlabelled
bwawa la maini ladinda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Unafurahia sare kweli nimeamnini bwawa leimegeuka dimbwi.Mko nyuma kwa pointi 16 kwa vijana wa Emirates halafu unajisifu.Ingekuwa ni mimi nisingezoza.
ReplyDeletewewe michu kwa kuwabana hao tuu mwadhubutu kuchonga hivyo hivi mwajua nafasi yenu kwenye msimamo wa ligi??mkifanya mchezo hata uefa cup mwakani hamchezi...
ReplyDeletebesides michu mbona wataka kutuletea habari za richmond tena??washindi wetu hatujaona ukiwapa fweza zao...au tukuundie tume??
sawa mzee michu naona unaifagilia timu yako kwa kutoka suluhu,sasa michu sisi ndugu zako waugaibuni tunaomba kama itawezekana ungekuwa unatuwekea matokeo ya ligi ya bongo ili nasisi twende na wakati na bongo sio mechi ya leo tujue matokeo keshokutwa. najua kuna watu watakandia lkn nyumbani ni nyumbani mimi ni pan wa damu.
ReplyDeleteWenzangu mnazungumzia jambo gani hapo...hebu nielewesheni???hilo bwawa la maini iko sehemu gani hapo TZ?
ReplyDeleteHii imekua hivi sababu ya LOWASSA
ReplyDeletehongera bwana michuzi na bwawa la maini yako ila shukrani za pekee zimfikie bwana eriksoni popote alipo kwa kuwaonyesha vijana wa oldi trafodi kuwa si lolote na si chochote zaidi ya kusifiwa tu na vyombo vya haari, chistina ronaldo blaza adebwayo anakuja leo kuchukuwa nafasi yake yamagoli, n fagasoni wachi outi prof wener is kaming in a week time...
ReplyDeleteholla!!!!!!
Michu hako ka-sare tu umefurahi namna hiyo?
ReplyDeleteUnajua mgonjwa akiwa taabani kitandani akionyesha dalili za kwamba yupo hai kama kutingisha kidole basi watu wanafurahi.Hivyo msilaumu Michuzi kwa kufurahia mgonjwa wake.
ReplyDeleteVIPI MICHUZI KUHUSU KOMBE LA AFRICA?
ReplyDeleteunapenda vibaya
ReplyDelete