pamoja na kucheza ugenini na kubebwa ile mbaya na refa leo tumewasimamisha chelsea nyumbani kwao. mpira umeisha na mambo ni bila bila - wangechonga sana leo.... hahahaahah mboni raha!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Unafurahia sare kweli nimeamnini bwawa leimegeuka dimbwi.Mko nyuma kwa pointi 16 kwa vijana wa Emirates halafu unajisifu.Ingekuwa ni mimi nisingezoza.

    ReplyDelete
  2. wewe michu kwa kuwabana hao tuu mwadhubutu kuchonga hivyo hivi mwajua nafasi yenu kwenye msimamo wa ligi??mkifanya mchezo hata uefa cup mwakani hamchezi...

    besides michu mbona wataka kutuletea habari za richmond tena??washindi wetu hatujaona ukiwapa fweza zao...au tukuundie tume??

    ReplyDelete
  3. sawa mzee michu naona unaifagilia timu yako kwa kutoka suluhu,sasa michu sisi ndugu zako waugaibuni tunaomba kama itawezekana ungekuwa unatuwekea matokeo ya ligi ya bongo ili nasisi twende na wakati na bongo sio mechi ya leo tujue matokeo keshokutwa. najua kuna watu watakandia lkn nyumbani ni nyumbani mimi ni pan wa damu.

    ReplyDelete
  4. Wenzangu mnazungumzia jambo gani hapo...hebu nielewesheni???hilo bwawa la maini iko sehemu gani hapo TZ?

    ReplyDelete
  5. Hii imekua hivi sababu ya LOWASSA

    ReplyDelete
  6. hongera bwana michuzi na bwawa la maini yako ila shukrani za pekee zimfikie bwana eriksoni popote alipo kwa kuwaonyesha vijana wa oldi trafodi kuwa si lolote na si chochote zaidi ya kusifiwa tu na vyombo vya haari, chistina ronaldo blaza adebwayo anakuja leo kuchukuwa nafasi yake yamagoli, n fagasoni wachi outi prof wener is kaming in a week time...
    holla!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Michu hako ka-sare tu umefurahi namna hiyo?

    ReplyDelete
  8. Unajua mgonjwa akiwa taabani kitandani akionyesha dalili za kwamba yupo hai kama kutingisha kidole basi watu wanafurahi.Hivyo msilaumu Michuzi kwa kufurahia mgonjwa wake.

    ReplyDelete
  9. VIPI MICHUZI KUHUSU KOMBE LA AFRICA?

    ReplyDelete
  10. unapenda vibaya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...