leo kulikuwa na foleni balaa hapa dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Issa Michuzi Raha Sana. Nyumbani ni Nyumbani. usipofata sheria matokeo yake foleni kama hiyo. Pipiiiiiii sogea nafasi yangu hapo chomeka hakuchuni huyo piiiiii!!!!! HAHAHA, Tabia hii ipo Italy pia tatizo watu wa Italy kila mtu anajiona anaendesha Ferari. Kamuwa KIbara hapo chomeka tu usiposogeza tunakupiga ki Dito yani pisto.

    ReplyDelete
  2. Haya ni mambo ya aibu kwa nchi yetu, aibu sana kwa kweli.

    ReplyDelete
  3. Lagos au Abuja???

    ReplyDelete
  4. Huko italy unakofananisha kama Bongo tu rushwa, dawa,uchavu mitaani, mbu, mamafia,ujivuni wa kishamba toa ref. ya sehemu ingine tafadhali.

    ReplyDelete
  5. hiyo ni psrking lot mama yangu siamini ni barabara mana kila mtu anelekea upande wake.Na bado baada ya miaka hamsini hatapita mtu hapo.Hao mafisadi wanaowekwa madarakani kwenye wizara ambazo hawaziwezi kazi kula pesa tu na hakika hawatafanya chochote kuhusu hilo.Labla ingejegwa reli ya kupita chini tena iendayo kwa kasi kutoka kona zote za jiji na makutano yawe posta mpya kama train center itasaidi wau wakamate train badala ya kila mtu kuwa behing the wheel.Pesa zitumike zile walizokula kina BL na wazee wa R.Monduli na nyingine zitakazofichuliwa.
    Mdau Mbeya

    ReplyDelete
  6. Mimi naona foleni na uchafuzi wa mazingira kutoka kwa injini za hiyo mitumba hiyo!

    ReplyDelete
  7. KWELI TULIO ULAYA BONGO TUSILUDI TENA MNAYAONA HAYO??/GARI ZINAANGALIANA USO KWA USO SIJUI HAPO NI MZUNGUKO AU YAHAANI NAONA BALAHA TU.MDAU 00316

    ReplyDelete
  8. ebwana ndio sasa hiyo ni foleni au fujo? wabongo tuwewastarabu kidogo kama wenzetu,tupeanenafasi sasa kama haposiwatakesha mpakakesho,tupunguze ubinafsi jamani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...