Home
Unlabelled
foleni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Issa Michuzi Raha Sana. Nyumbani ni Nyumbani. usipofata sheria matokeo yake foleni kama hiyo. Pipiiiiiii sogea nafasi yangu hapo chomeka hakuchuni huyo piiiiii!!!!! HAHAHA, Tabia hii ipo Italy pia tatizo watu wa Italy kila mtu anajiona anaendesha Ferari. Kamuwa KIbara hapo chomeka tu usiposogeza tunakupiga ki Dito yani pisto.
ReplyDeleteHaya ni mambo ya aibu kwa nchi yetu, aibu sana kwa kweli.
ReplyDeleteLagos au Abuja???
ReplyDeleteHuko italy unakofananisha kama Bongo tu rushwa, dawa,uchavu mitaani, mbu, mamafia,ujivuni wa kishamba toa ref. ya sehemu ingine tafadhali.
ReplyDeletehiyo ni psrking lot mama yangu siamini ni barabara mana kila mtu anelekea upande wake.Na bado baada ya miaka hamsini hatapita mtu hapo.Hao mafisadi wanaowekwa madarakani kwenye wizara ambazo hawaziwezi kazi kula pesa tu na hakika hawatafanya chochote kuhusu hilo.Labla ingejegwa reli ya kupita chini tena iendayo kwa kasi kutoka kona zote za jiji na makutano yawe posta mpya kama train center itasaidi wau wakamate train badala ya kila mtu kuwa behing the wheel.Pesa zitumike zile walizokula kina BL na wazee wa R.Monduli na nyingine zitakazofichuliwa.
ReplyDeleteMdau Mbeya
Mimi naona foleni na uchafuzi wa mazingira kutoka kwa injini za hiyo mitumba hiyo!
ReplyDeleteKWELI TULIO ULAYA BONGO TUSILUDI TENA MNAYAONA HAYO??/GARI ZINAANGALIANA USO KWA USO SIJUI HAPO NI MZUNGUKO AU YAHAANI NAONA BALAHA TU.MDAU 00316
ReplyDeleteebwana ndio sasa hiyo ni foleni au fujo? wabongo tuwewastarabu kidogo kama wenzetu,tupeanenafasi sasa kama haposiwatakesha mpakakesho,tupunguze ubinafsi jamani.
ReplyDelete