sehemu maarufu ya bustani ya forodhani mbele ya jumba la ajabu hapa zenji limepigwa bati kuashiria kuanza kwa ukarabati wa sehemu hiyo. inatarajiwa kazi hii itachukua miezi 10 hivyo yale machopochopo yamehamia uchochoro wa hilo jumba la ajabu na ngome kongwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Miezi kumi!! Mungu wangu, wanafanya nini muda wote huo? isijekua kama mambo ya Richmond

    Hio bustani ni ndogo halafu ichukue muda wote huo? tena ni ukarabati

    ReplyDelete
  2. asante michuzi kwa kutuwekea picha za home town zenji moyo huo huo

    ReplyDelete
  3. bro michu naomba uwaambie hao viongozi wanaoshughulikia huo ukarabati wajenge fensi kubwa itakayozunguka forodhani yote hiyo ni kwa ajili ya helth and safety ya watu wa mji huo

    ReplyDelete
  4. miezi 10 mingi sana.au inatujuulisha kwamba hakuna civil engineer uko?yani ujenzi utajengwa kwa vibarua na kwa mikono!

    michu mi naomba uzifikishe izi salam wangeatafuta watu madhubuti shughuli ikamalizika mapema kwanza ivo ilivo haileti picha nzuri ukizingatia znz ni mji wa watalii usokwisha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...