mwanaharakati wa kutetea haki za wasanii nambari wani zavara mponjika akihojiwa na tv ya kimataifa kuhusu shughuli zake na mradi wa 'wapi' akiwa sauti za busara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kaka zavara tupo pamoja na wewe katika harakati,najua unafanya kazi kubwa na muhimu mno ambayo unathamini heshima sana,ila pia naomba tarehe 10 mya kila mwaka tumkumbuke D-rob kwa tamasha we unaionaje hii? ndugu yo pa-1 toka bara la asia hapa kwa Gandhi

    ReplyDelete
  2. Idea hiyo ni nzuri sana kwa wale wanaojua mziki wa kusomesha ndugu zetu watanzania wanaelewa kuwa kaka yetu Zavara na KWANZA UNIT,ndio waliofungulia BONGOFLAVA milango..naona amevaa WAPI,the movement is on,lazima tutapata mafanikio mengi nyumbani,"the best is yet to come"

    ReplyDelete
  3. Kwani jina la Rhymson lilikufaga,

    kama vipi poa tu, hata hilo linafaa,

    najua we ni mwanamapinduzi, unataka jina lifanane na Che Guevara, nayo imekaa vizuri tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...