fulana yetu nayo pia ipo zenji kutuwakilisha kwenye sauti za busara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. kaka michuzi nisalimie chau hapo

    ReplyDelete
  2. michuzi bwana unapenda mnusooo,umeacha mambo yanapamba bungeni unakimbilia sauti ya busara tuletee mambo ya maana bwana,achana na minuso

    ReplyDelete
  3. Niko mbioni kutafutia fulana kama iyo, nikizipata tu nitakutumia, wewe subiri,natumaini iyo ndio ilikua ya mwisho madukani,nitajitahidi kuzitafuta.mdau holland

    ReplyDelete
  4. wee babu vipi yaani umekimbia mambo ya maana bala waenda zanziberi kula urojo na mbatata zake!!!urojo utakusaidia nini yakheee,rudi bala bwana utukandamizie masiasa bwana na hilo litisheti huvui!!!kudadadeki!!!(soma hii msg kijotijoti)

    ReplyDelete
  5. Hiyo fulana itakudumu kamwe,siri ni usiifue tu,vaa mfululizo manaake kama haitaguswa na kemikali yaani sabuni mbuni...basi mpaka uende futi 6 chini...ifurahiie!!!labda wajukuuu pia wataivaaa!!!!

    ReplyDelete
  6. msalimie Waziri Ally hapo nyuma.

    ReplyDelete
  7. michuzi umechanjia hiyo fulana au?
    wewe sema sisi tujue

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...