Usafiri wa kutumia vyombo vya moto umeanza kupungua kutokana na gharama kubwa za kuendesha vyombo hivyo kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, pichani baiskeli aina ya GUTA ikitumika kusafirisha Watu na mizigo yao kwa bei nafuu, cha muhimu ni kushiba kwa mwendeshaji tuu

Mdau Kariakoo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. jamani mimi nilifanya kazi guta pale tazala.Naomba kama kuna mtu anajuwa habali za lafiki yangu Flora tulifanya nae kazi guta.baba yake halikuwa polisi Mbeya na mjomba wake anakaa sinza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...