Home
Unlabelled
harusi ya kukata na shoka mombo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
harusi nyingine bwana raha kweli,maana bwana harusi anaonekana kachangamka kwelikweli!
ReplyDeleteHongera bro Erasto.Muzee ya Kinondoni mitaa ya Ufipa(miaka dahali).Erasto wasiliana nami 0713 229 401.
ReplyDeleteUmeniacha hoi Michuzi, unasema walikula, walikunya...(astaghafirullahi!)
ReplyDeleteAahaa, mbona ni Wazee? kulitokea nini kufunga ndoa sasa?
ReplyDeleteLakini Wamependeza sana
Michuzi, acha michemsho! Mombo iko wilaya ya Korogwe na sio Muheza. Ila huko Muheza kuna kijiji kinaitwa MamboLeo!
ReplyDeleteHalafu hiyo picha ya pili, DAH! huyo dadaa kajazia si mchezo! unaweza kunipa anuani yake nimtumie
Pongezi za binafsi???
Wamependeza huree! huree! huree!
ReplyDeleteAaaaahhhhh...ile manati au nini?bwana harusi katika siku hii ya sherehe za arusi unatakiwa uwe na maua babu...manati bwana inatuma signo mbaya...wakwe watakuogopa yakhe!!!
ReplyDeleteMichuzi ehe, huyo mdada anaeselebuka hapo juu ananifaa mimi, chgeck nae kama hakuna aliyejiweka mie nijitoe muhanga
ReplyDeletehuyo mpambe ni pascal kagisa?mume wa kachu?nilikaa nae upanga.kachu yupo?
ReplyDeletewanawake wazuri wazuri wameolewa, tumebaki manungayembe tunahangaika!!!!! ngoni tribe bab kubwa!!!
ReplyDeleteHuyo demu kwenye picha ya pili rear view sio mchezo...ndio mambo ya kitanga hayo...mmmh, angalia jamaa wa kulia macho yalivyomtoka!
ReplyDeleteUyo jamaa rightside alie kodolea kikalio mdada anaecheza ni MICHUZIjr au sio?
ReplyDeleteHuyo mwenye T-shirt nyeupe....nini nini hapo juu kukodolea wowowow la watu hivyo ......mhhhhhhh tutaisha mbona .......naona haamini kuona hayo labda anaishi ....huku ughaibuni kuona vitu hivyo ni adimu ...wote mifupa tu huku....kabakia mama yangu....badala acheze.... anakodolea macho
ReplyDeleteHarusi nzuri lakini du huyo dada anayecheza sio mchezo hata mimi mwanamke mwenzake lakini nimejikuta namshangaa kajazia so sexy
ReplyDeleteInaonekana hawa mabwana wamepasha moto kiporo..i mean jamaa kamuoa mkewe wake
ReplyDeleteUzuri ni kwamba Kiporo hakihitaji moto mwingi yakge hata ukichoma kijipande cha gazeti ushapasha!!
ReplyDelete