mc na bw. harusi ulingoni
libeneke
wanameremetaaaa wanameremetaaaaaa
vigelegele...
vilaji taimu
papaa erasto na anti jacquiline hivi majuzi waliamua kufanya kweli na bonge la harusi yao lilifanyika huko mombo, muheza, tanga. watu walikula, walikunywa na walicheza mpaka basi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. harusi nyingine bwana raha kweli,maana bwana harusi anaonekana kachangamka kwelikweli!

    ReplyDelete
  2. Hongera bro Erasto.Muzee ya Kinondoni mitaa ya Ufipa(miaka dahali).Erasto wasiliana nami 0713 229 401.

    ReplyDelete
  3. Umeniacha hoi Michuzi, unasema walikula, walikunya...(astaghafirullahi!)

    ReplyDelete
  4. Aahaa, mbona ni Wazee? kulitokea nini kufunga ndoa sasa?
    Lakini Wamependeza sana

    ReplyDelete
  5. Michuzi, acha michemsho! Mombo iko wilaya ya Korogwe na sio Muheza. Ila huko Muheza kuna kijiji kinaitwa MamboLeo!

    Halafu hiyo picha ya pili, DAH! huyo dadaa kajazia si mchezo! unaweza kunipa anuani yake nimtumie
    Pongezi za binafsi???

    ReplyDelete
  6. Wamependeza huree! huree! huree!

    ReplyDelete
  7. Aaaaahhhhh...ile manati au nini?bwana harusi katika siku hii ya sherehe za arusi unatakiwa uwe na maua babu...manati bwana inatuma signo mbaya...wakwe watakuogopa yakhe!!!

    ReplyDelete
  8. Michuzi ehe, huyo mdada anaeselebuka hapo juu ananifaa mimi, chgeck nae kama hakuna aliyejiweka mie nijitoe muhanga

    ReplyDelete
  9. huyo mpambe ni pascal kagisa?mume wa kachu?nilikaa nae upanga.kachu yupo?

    ReplyDelete
  10. wanawake wazuri wazuri wameolewa, tumebaki manungayembe tunahangaika!!!!! ngoni tribe bab kubwa!!!

    ReplyDelete
  11. Huyo demu kwenye picha ya pili rear view sio mchezo...ndio mambo ya kitanga hayo...mmmh, angalia jamaa wa kulia macho yalivyomtoka!

    ReplyDelete
  12. Uyo jamaa rightside alie kodolea kikalio mdada anaecheza ni MICHUZIjr au sio?

    ReplyDelete
  13. Huyo mwenye T-shirt nyeupe....nini nini hapo juu kukodolea wowowow la watu hivyo ......mhhhhhhh tutaisha mbona .......naona haamini kuona hayo labda anaishi ....huku ughaibuni kuona vitu hivyo ni adimu ...wote mifupa tu huku....kabakia mama yangu....badala acheze.... anakodolea macho

    ReplyDelete
  14. Harusi nzuri lakini du huyo dada anayecheza sio mchezo hata mimi mwanamke mwenzake lakini nimejikuta namshangaa kajazia so sexy

    ReplyDelete
  15. Inaonekana hawa mabwana wamepasha moto kiporo..i mean jamaa kamuoa mkewe wake

    ReplyDelete
  16. Uzuri ni kwamba Kiporo hakihitaji moto mwingi yakge hata ukichoma kijipande cha gazeti ushapasha!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...