Alex Kassuwi, mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya ISEKU' LOGISTISTICS akiwaoensha mh. mlata (kulia) na mdau saidi yakubu aliyerejea nyumbani kusaka nondozz kuhusu kampuni yake ambayo inatoa huduma ya magari katika mikutano, na maofisi na ina gari kali kali kama vile Ma-benz, Ma-bm, Ma-coaster mayai full kipupwe. anapatikana +255 787 717164

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. LOGISTISTICS NDIO MDUDU GANI?

    ReplyDelete
  2. KAKA SAID VIPI BBC
    KITENDA WILI MUOSHA HUOSHWA

    UMEAMUA KUWA MIN CAB TENA BONGO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...