leo mgeni katembelea hospitali ya amana, ilala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. kuna marines wako juu ya paa tayari kwa lolote.ama kweli huyu ni rais wa dunia, walinzi wetu (JWTZ na polisi) wanatekeleza amri zao.

    ReplyDelete
  2. Tukisema tight security tunakosea. Nadhani hii tuiite sealed security !!

    ReplyDelete
  3. sasa wamepiga simple tai pembeni du yaani wote nyie wawili ehee kazi ya watu wachini inawapata raha nyie ila kwa kweli KIKWETE nampenda sana is genuine kuhusu ubinadamu I give him 98% ni mtu mzuri.bwana kichaka sitaki kuwa mnafiki sijui sana mimi sio mtu wa siasa hivyo

    ReplyDelete
  4. watanzania acheni mambo ya kuandamana, mwenzenu atawaletea misaada muwe mnaendelea kifikra mpaka tuwapite wakenya.

    ReplyDelete
  5. mnaona wadau punguzeni ushamba, mambo ya kuandamana bila mpnago sio mazuri, amefanya kitu cha maana kutembelea tanzania, sio nchi zote za afrika.

    ReplyDelete
  6. Lakini huyu raisi in persona(Bush) acheni bwana...kwa vile anafuta sheria za chama chake lakini yeye na mkewe ni watu poa sana.....yaani wana ubinadamu

    ReplyDelete
  7. Mbona kila mahala wamevaa sare sare? Maana ile siku ya kwanza tai nyekundu, kusaini tai zao zinafanana, na mchana, wamevaa nguo zimefanana ndio mambo ya protocol nini jamani tuambieni sie wengine washamba mwe!

    ReplyDelete
  8. Naomba kuuliza kitu rahisi tu kwanza kabla kuuliza 1. Simfagilii bush ila kafanya kitu kizuri kusaidia kuhusu malaria na Aids 2. Hata mie maandamano sifagilii ni vizuri kumpuuzia 3. Hongera watanzania tudumishe amani. Swali langu sasa je Jeshi Letu la ulinzi ni zaifu? manake naona wazungu kwa mbali wanalinda juu. Jengine Bush mbona katembelea ndani ya ikulu na watu wandani ya ikulu ni ndugu wa viongozi wetu. hospital ni baazi ya watu tu. si mlaaumu ana maadui wengi sababu naye ni Adui mungu ndio anayelipa. bye.

    ReplyDelete
  9. MNAOUNGA MKONO MAANDAMANO, SASA LINGANISHENI HUO MNAOITA UBAYA WAKE NA FAIDA YA UJIO WAKE.

    ReplyDelete
  10. Mkubwa nakubali, tuandamane kuoinga sera za marekani kama na kama tu, sisi ni wasafi, kuna matatizo mengi ya nchi yetu amabyo chanzo si marekani, ufisadi wa richmond,BOt,IPTL, chanzo ni bush? wasomi wana matatizo wamesaliti taifa la Tanzania, wamekaa kimya hawaandamani ka matatizo ya nchi bali eti Bush kaja.Tatizo ni kutokuwa na elimu,uadilifu, ujinga, kukosa uzalendo si Bush, kwa hili wasomi wa chuo nawapiga bao naona nimewaacha kwa mbali, lakini, mdahalo wao unathibitisha Bush ni rais wa dunia, kwani nchi zingine zinazoipa Tanzania misaada hazina manufaa wanayoyataka!.No free lunch in this world.Issa kazi nzuri Big up.

    mdau -Canada

    ReplyDelete
  11. Haya tumekoma anon. wa feb 18, 4:03 na leo anaenda arusha basi wampitishe kwenye zile n-ngwe za ngorongoro akapumzishe mawazo kidogo auuu??? asojua maana haambiwi maana, kimwambia maana unamtukana

    ReplyDelete
  12. jamani hiyo ni hospitali ya amana au nyingine?mie ninavyoijua haikuwa hiyo...sasa hiyio hospitali imejengwa kwa msaada wa bush?tunakushukuru sana mzee..

    ReplyDelete
  13. UKOLONI HAUISHI TANZANIA!MWANZO WALIKUJA KAMA WAMISIONALI NA SASA NI MISAADA NA UWEKEZAJI DUUU

    ReplyDelete
  14. MADOGO WA BONGO FULL KUDEKA HATA MBELE YA BUSH ANALIA HAKAONI AIBU INAFAA JK ANGKAPA DISPLIN BARARA KAMA TAMADUNI ZETU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...