mustafa hassanali anaanza mwaka na mambo mapya. hii ni kadi yangu ya yeye kunialika kwenye shoo yake hapo februari 9, 2008 hoteli ya moevenpik. mengine zaidi mtembelee kwa kubofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. wahindi hawaachi asili yao!!! nadhani pia kwenye pesa zao kuna nembo ya pilipili! kwa jinsi wanavyoipenda.

    ReplyDelete
  2. Kweli wadosi tunazipenda hizo pilipili na haswa hizi za kimanga,hilo pilipili ukilipenya pahali ambapo jua halin'gai nakuambia magonjwa yote yatakukimbia na wala mganga hutamtembelea!

    ReplyDelete
  3. ANATAFUTA PUBLICITY YA BURE!

    ReplyDelete
  4. ISSA HUYU JAMAA NIMEMUELEWA ANATUAMBIA KWAMBA.."PILIPILI ALE MWINGINE WEWE KINACHUKUWASHA NINI?"..ANAPENDA MAFUMBO HUYU..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...