kitanda nnacholalia zenji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Kaka Michu hapo umetudanganya ila nimeipenda hiyo design ,Michu tuta ku lowassa ukitu danganya tena

    ReplyDelete
  2. wewe michuzi usituchanganye kabisa! watu tumeibiwa hela zetu BoT na kutapeliwa na Richmond bado vichwa vyetu havijatulia nawe unazidi kutuchanganya tena? Yaani hiki kiota cha ndege au cage ya kuku ndio unatuambia kwamba ni kitanda? Ni mtu gani anayelala humo? Ana nini?

    ReplyDelete
  3. Hapana umekosea kiswahili mdau hapo juu ni 'michuzi tutaku lowassa ukitu richmond tena'

    ReplyDelete
  4. Unajua kaka Michu, tunakuamini sana wewe...sasa ukianza kutuletea uwongo wa namna hii..tutakuita FISADI sasa hivi...na unajua tena mwezi huu hatuwavumilii mafisadi ha ha haaa.

    I really like the design though...

    ReplyDelete
  5. Kaka kaka kaka kaka!
    Hicho kitanda ni full mbembelezo kwenda mbele.

    ReplyDelete
  6. KAKA UNAINGIAJE KWENYE HICHO KITANDA?

    ReplyDelete
  7. hicho kitanda kama chumba hakina kiyoyozi! joto lake ni la kufa mtu! tena na joto la bongo na huu umeme wa RICHMOND, sipati picha!

    ReplyDelete
  8. kizuri ka kunyeza kizenji bonyeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  9. SPACE AGE BED FROM TANZANIA!!!mmninga halisi...sio cheap rubbish yenu yaani pumba!

    ReplyDelete
  10. Mi Nauliza tu,

    Kinahimili Mikiki na Kukuru Kakara za Wapendanao??

    kisije kikavunjika bure na kuharibu starehe za watu

    ReplyDelete
  11. Michuzi, Ukithubutu kujaribu na ma-wife wako hapo kitabakia vipandevipande! Mtaokotwa chali chini. Kinawafaa hao wa huko huko. Wepesi na wadogo wadogo

    ReplyDelete
  12. Kaka michuzi hicho kitanda si kizuri kwa mitaa ya zenji na mapoppo bawa!!!! patakuwa shida kutoka humo kitandani.

    ReplyDelete
  13. Kina Seat Belt? Imagine if it rolls over!

    ReplyDelete
  14. That what I'm talking about. I LUV that bed. Gash close ur eyes make a wish baby boy or baby girl.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...