Home
Unlabelled
kitanda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michu hapo umetudanganya ila nimeipenda hiyo design ,Michu tuta ku lowassa ukitu danganya tena
ReplyDeletewewe michuzi usituchanganye kabisa! watu tumeibiwa hela zetu BoT na kutapeliwa na Richmond bado vichwa vyetu havijatulia nawe unazidi kutuchanganya tena? Yaani hiki kiota cha ndege au cage ya kuku ndio unatuambia kwamba ni kitanda? Ni mtu gani anayelala humo? Ana nini?
ReplyDeleteHapana umekosea kiswahili mdau hapo juu ni 'michuzi tutaku lowassa ukitu richmond tena'
ReplyDeleteUnajua kaka Michu, tunakuamini sana wewe...sasa ukianza kutuletea uwongo wa namna hii..tutakuita FISADI sasa hivi...na unajua tena mwezi huu hatuwavumilii mafisadi ha ha haaa.
ReplyDeleteI really like the design though...
Kaka kaka kaka kaka!
ReplyDeleteHicho kitanda ni full mbembelezo kwenda mbele.
KAKA UNAINGIAJE KWENYE HICHO KITANDA?
ReplyDeletehicho kitanda kama chumba hakina kiyoyozi! joto lake ni la kufa mtu! tena na joto la bongo na huu umeme wa RICHMOND, sipati picha!
ReplyDeletekizuri ka kunyeza kizenji bonyeeeeeeeeee.
ReplyDeleteSPACE AGE BED FROM TANZANIA!!!mmninga halisi...sio cheap rubbish yenu yaani pumba!
ReplyDeleteMi Nauliza tu,
ReplyDeleteKinahimili Mikiki na Kukuru Kakara za Wapendanao??
kisije kikavunjika bure na kuharibu starehe za watu
Michuzi, Ukithubutu kujaribu na ma-wife wako hapo kitabakia vipandevipande! Mtaokotwa chali chini. Kinawafaa hao wa huko huko. Wepesi na wadogo wadogo
ReplyDeleteKaka michuzi hicho kitanda si kizuri kwa mitaa ya zenji na mapoppo bawa!!!! patakuwa shida kutoka humo kitandani.
ReplyDeleteKina Seat Belt? Imagine if it rolls over!
ReplyDeleteThat what I'm talking about. I LUV that bed. Gash close ur eyes make a wish baby boy or baby girl.
ReplyDelete