Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. duu kipanya hii kali

    ReplyDelete
  2. Duhh!! KP kumbe Mama nanihii Akivalia Ka-mini anapendeza namna hiyo??Vitenge vyaficha Mengi bwana!!

    ReplyDelete
  3. Njukuu wangu KP umeanja uchokoji!!! wakikupiga nkuki ama nchale mi chimo kabichaa, unawajua hawa? Wanauwa chimba kwa nkuki na nchale..... (dRU)

    ReplyDelete
  4. Is anyone talks about criminal implications, probably leading to criminal investigation by the Chief Justice on the accused.

    It really sounds to me that, they are throwing towels on political front, by resigning from their government position, but anyone???? Thinks of implicating and investigating these individuals particularly on their finances(Bank accounts in Tanzania and abroad, or wherever their hiding their wealth, and corrupted money).. They should all be seized and stand trials.

    What you all thinks ??

    Secondly, the government should press ahead, start second fron by pressing ahead by opening a court case against RICHMOND, in USA.

    This action, would send a clear signal to doggy investors around the world.


    By Mchangiaji.

    ReplyDelete
  5. Mamaaaaaaaaaaaa si mchezo

    ReplyDelete
  6. hii inafanana kweli na tabia za mademu wa kibongo pindi mrija wa hela unapokata na wenyewe wanakula kona..nadhan Kp atakuwa anajua mifano halisi yanikisemacho...

    ReplyDelete
  7. I agree with you, mchangiaji!a court case against Richimonduli will also get us out of the stupid mkataba and save our 150 Million madafus per day...!

    ReplyDelete
  8. MMmmmmm, Kipanya, you are good my Son!Take 5. Just watch out they dont kubenea you...teh teh!

    ReplyDelete
  9. Kipanya ni Nabii.
    Juzi alitabiri kuwa baraza zima litaondoka atabaki Shein tu, na kweli imekuwa hivyo !!

    Big UP KP !!

    ReplyDelete
  10. KP HUYO DEMU ULIYEMCHORA ANAAVUUTIA ANAMVUUTO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...