mkurugenzi mtendaji wa precision air alfonse kioko (kulia) akiongea na bosi wa kenya airways titus nikuni wakati wa hafla ya kukabidhi mradi wa kisima cha maji wenye thamani ya shilingi milioni 40 kwa shule za msingi za tandale na hekima zilizo wilaya ya kinondoni, dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. again...ZASAIDI? wuts da hell wit da? GBTS maaan.

    ReplyDelete
  2. huyo TITUS NKUNI amekimbia mapigano tu huku kenya hiyo habari ya kisima ni geresha. kazi hiyo angem-assign afisa tu katika ofisi zao za tz si kazi ya kufanywa na mtu kama yeye.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...