Home
Unlabelled
kujikoki...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapo wapi jamani mbona huyo mkaka hapo kulia ni kama namjua vile sio G. Kivaria??????????
ReplyDeletekama nimekosea kunradhi
eh kak ayetu semina elekezi nini tena manake haziishi hizo....hatukawii kukuona uko arusha...
ReplyDeleteBro Michu, huyo jamaa wa katikati ni Daktari wangu... KZ wassup?
ReplyDeleteNordstrom Rack
Shehe Muhidini...jiepuke na mtindi na maji hayo ya mizabibu...yatakudhuru siku ya kiama!!!
ReplyDeleteAhaaaa, kumbe nawe fisadi eeeeeehhh!!
ReplyDeleteSawasawa Mwanawani,Michu naona umeamua kujibu mashambulizi.basi nakupa shavu mkuu!!naona Maji ya Kunywa,Mivinyo Mezani, kikao cha heshima hicho.
ReplyDeleteNamuona kujana prosper hapo...tunakusubiri Benton Harbour na Chicago unarudi lini kijana huku au bongo mambo safi!
ReplyDeleteHaswa! Huyu hapa kulia ndio George Kivaria (kwa wale wa karibu yake sana pia anajulikana kama aka "Papa G"! Kweli matawi ya juu kaka michuzi! mlikuwa wapi hapa? Huyo kushoto sio Ndaga Mwakyusa na mumewe Prosper Magambo? Lini mnarudi Chi Town nyie? Naona kuna Courvsier moja, na Jack Daniels moja! Duh! Jamani hawa washkaji! sio mafisadi hawa.
ReplyDeleteNaona kijana Prosper Magambo mambo yako ni tambarare kwa saaana tu. Muhimu naona umejenga heshima ya kuwa na mwenzi-wako kwa pembeni, Mrs. N. M. Magambo, hii nakufagilia mtu wangu...!
ReplyDeleteMdau Japan
Prosper naona unajichana hapo. Philly lini tena?
ReplyDeleteMdau hapo juu nakuunga mkono kumpa pongezi Prosper kuwa sambamba na Ndaga, wanaume wa kibongo hawatokagi na wake zao, utawakuta na vimada tu, big up my man Prosper wa la saba B pale Muhimbili Primary, Ndaga ulikuwa A wewe.
ReplyDeleteNB. Hapo nadhani ni katika harusi.
Hapo ni Arusha, kwenye harusi ya kijana Vincent Shirima
ReplyDelete