hawa ndio makocha wa kutoka nchini serbia wanaofundisha klabu za yanga na simba. shoto ni kocha dusan kondic wa yanga na cokovic milovan wa simba. hakuna sababu za kisayansi zinazoeleza sababu za timu za bongo kupenda makocha wa iliyokuwa yugoslavia toka dragan popadic alipofungua milango hiyo mwaka 1993

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Cheki wajaacha zushi wanavyocheka nyuma hamjaacha tu mambo ya....

    ReplyDelete
  2. Kwa sababu wako cheap, na wala sio kiwango chao cha kiufundi na ndio maana hata soka letu halindelei kila siku, think big win big always...............teh teh teh.

    ReplyDelete
  3. Sababu za kisayansi zipo. Hao ni wazungu wa bei rahisi. Club zinataka wazungu sasa watamchukua coach muingereza wataweza?

    ReplyDelete
  4. Wewe anonymous wa 6:44:00, hebu sema uingereza kuna kocha kweli? yaani wewe kuosha huko tayari unajua mpira? watanzania sijui lini tutabadirika.

    ReplyDelete
  5. Go back almost half a century. There was Yanga's Victor Stanslaus - was he a Yugoslav or Romanian?

    ReplyDelete
  6. Na wewe kocha Mwingereza wa nini? Wao wenyewe wanatafuta kocha kil akona ya dunia. Si wangempata wao kwanza?

    ReplyDelete
  7. Ati mnawasifu romania na yugoslavia,kwani wameshinda nini???
    dhiki na njaa tu kule babu kwani hamjui magari yote yanayoibiwa ulaya magharibi ndio huelekea yugo na romania...hao ndio wezi na sasa amegundua kuwa Mswahili pia anaweza kudhuriwa...basi katuwamia kwa njia ya kutufundisha boli!!!na huyo stanislav,je aliwahi kuifikisha yanga kwenye fainali ya kombe lolote barani Afrika???...sidhani...kwa hiyo acheni sifa puuzi!!!Long live PAUL WEST GWIVAHA!

    ReplyDelete
  8. LINI TUTAZIONA SIMBA NA YANGA???
    Last Updated: Saturday, 23 February 2008, 19:00 GMT

    E-mail this to a friend Printable version

    Etolie beat Sfaxien in Super Cup

    Chermiti scored Etoile's first goal
    Champions League holders Etoile du Sahel beat CS Sfaxien 2-1 on Saturday in an all-Tunisian African Super Cup.
    Amine Chermiti scored in the fifth minute but was red-carded with two minutes remaining.

    Agyemang Opoko equalised for Sfaxien on 27 minutes, but Radhouane Felhi put Etoile ahead again four minuites after half-time.

    The game was played at the Rades Stadium, outside Tunis.

    The annual Super Cup brings together the Champions League and Confederation Cup title holders.

    Chermiti scored eight goals last year as Etoile won the Champions League for the first time.

    It is a second win from four Super Cup appearances for Etoile, who beat Raja Casablanca in Morocco 10 years ago before losses to Enyimba of Nigeria and Egyptians Al Ahly.

    ReplyDelete
  9. Fala huyo anajua nini hapa uingereza hakuna kocha wala refa. na wachezaji kama bono tu sema hela ipo basi
    natoa hoja
    or inabidi niwasilishe eh!

    ReplyDelete
  10. michuzi mbona maswali mengine hayana kichwa wala miguu?
    Ukitaka sababu za kisayansi, angalia kwenye FIFA RANKS, Serbia ipo nafasi ya ngapi kwenye orodha ya kiwango cha mpira DUNIANI?
    Ukifikiri ENGLAND ipo juu, fikiri mara mbili kwani hawana kocha mzalendo mwenye ujuzi mkubwa na ndiyo maana timu yao inafundishwa na FOREIGNERS ingawa hawapendi!
    Nenda UGOGONI(google) halafu angalia majina ya makocha hao wa KI-SERBIA wana sifa za kuwa makocha na vyeti vinavyokubalika duniani kote!
    Kama kocha wa Yanga amewahi kufundisha timu za nchi mbalimbali Afrika kabla ya kutua Yanga.
    UK, makocha wa KIINGEREZA ni Steve Mclaren, Steve Coppell,Harry Redknap, Bryan Robson, Sam Alardice,Alan Curbishley,Paul Ince, Kevin Keegan,Peter Taylor,Graham Taylor, Dennis Wise, Steve Bruce, Neil Wannock na Stuart Pearce, ambao ujuzi wao wa kuwa makocha wakuu ni mdogo. Wanastahili kuwa makocha wasaidizi!
    Ukiangalia mafanaikio ya Arsenal, Chelsea, Everton, Man United, Man City, Liverpool,Tottenham, Aston Villa zote zina makocha wanaotoka nje ya England!
    Kwa hiyo usishikwe na butwaa. Angalia Cameroun, Tunisia,Nigeria na hata Namibia nayo inaangalia nje ya nchi zao.
    Kila kitu kitabadilika na siyo kwa siku moja au mwezi mmoja. Kama soka ya klabu ikiwa ya juu, hata za timu ya TAIFA STARS nayo itaongezeka na kuinufaisha nchi kwenye michuzo ya kimataifa.
    Huyo Mbrazil atafundisha hao wachezaji wetu mpaka kufa na hawatofika mbali na timu za BONGO zitakuwa chini ya kina CHAMBUA, JULIO, KIBADEN na MZIRAY ambao wanadhani kocha mzalendo ndiyo mwenye sifa ya juu ya kufundisha soka. TUKUBALI ipo siku tutafanikiwa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...