siku hizi makampuni ya bongo yamemaizi umuhimu wa kutumia masupa staa kujitangaza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. we michuzi mbona unapenda ligi sana

    ReplyDelete
  2. Hata wangemuweka chui peke yake! Utamu wa mchupa unabaki pale pale. Gongo haitangazwi na bado tunagambeka kama kawa.

    ReplyDelete
  3. Hakuna cha umuhimu,wanajitangaza ulevi tuuu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...