huyu ni mdau mkereketwa nambari wani wa kijapani ambaye hakosi tamasha la sauti za busara hapa zenj. mwaka huu kaja na mai waifu wake. yeye ni mwandishi wa habari za burudani huko kwao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. wamependeza kweli kweli na wewe safari hii umembeba my wife wako?

    ReplyDelete
  2. Michuzi mbona wewe huvai hiyo t-shirt ya Sauti za Busara. Ni nzuri sana. Vaa na wewe angalau ubadilishe kile ki t-shirt cha kauka nikuvae.

    ReplyDelete
  3. Misupuuu!
    Inaonakena unawivi sana...maana humbebi mkeo hata siku moja ...kazi kuomba kupiga picha na wadada wa watu...siku ukiwanao watu watakua wanaomba kupiga nae picha...hahaha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...