Home
Unlabelled
morani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi utapigwa hope hujasema mbele yao sina uhakika lakini nadhani Morani ni vijana wadogo ambao hawajatahiriwa lakini hai ni watu wazima, wadau inawezakuwa nimekosea kunradhi kama ni sawa bomba
ReplyDeleteJamani hao kweli Morani Masai...mbona hawana zile maumbile za kimasaai???...Masikio yanayoning'inia,pua ndefu,nywele zilizosukwa,mikuki mkononi n.k.ni halisi...siku hizi bwana ili kujipatia vijisenti kila mmoja anatudanganya yeye Morani na Kaka Michu anaiimarisha kasumba hiyo...feki ni feki!!!
ReplyDeletekaka michuzi wacha kutuyeyusha unasema eti uko kwenye vekesheni, sema upo kazini umekwenda (coverage)
ReplyDeleteya ujio wa Rais George Bush huko Arusha
Huyo wa kwanza kulia anatuzuga sio real maasai. Kwanza fupi pili kibonge, ni rare kupata wa namna hiyokatika jamii ya kimasai.
ReplyDeleteRich Monduli. Morani wa siku hizi wakali, yaani na mambo ya MTANDAO. Michuzi, vekesheni au kwajili ya George Kichaka??
ReplyDeleteMichuzi uliwalipa ku pose nao maana imekua biashara hawa jamaa sasa hakikisha unawalipa sio kutumia umaarufu wako kuwanyima riziki wenzio.
ReplyDeleteAnonym wa 1:26:00 PM angalia sana unasema morani ni vijana amabo hawajatahiriwa? Andika kitu ulichokifanyia utafiti-Uliza maana ya morani kabla ya kumkandia Kaka Michuzi. Michuzi yuko sawa kabisa. Ambao hawajatahiriwa wanaitwa ma-layoni (Ma-Lions).
ReplyDeleteAcha kujikomba kwa Morani bwana,nyie mapaparazzi ndio mlimletea matatizo kaka yao edward.Huo ni ushauri wa bure siyo lazima uufuate.
ReplyDeletehuyo wa kulia sio mmasai kaona bush anakuja anazani kuna ulaji akaamua awe morani ,masai ni kama wanyarwanda hata wamix na tribe nyingine maumbile yao hayapotei.
ReplyDeleteMichu, inasemekana umekwenda kuchungulia chuchu za ki-masai zilizo "saa sita", sababu watoto wa kimasai kule kijijini huwa wanaachia maziwa nje. aibu hiyo, wewe umeoa kaka.
ReplyDeletehawa ni wana apollo, moran huvaa shuka nyekundu, sime, mkuki au fimbo,na morani ni wanaume wa kimasai walotoka jandoni, umri wa kuitwa morani ni kati ya miaka 18 hadi 35.
ReplyDeletewe anony wa 2:54 we ndo unapapatika bila kuelewa, anony wa kwanza amesema hana uhakika ila kama amepatia basi bomba...ulitakiwa kumrekebisha tu. ka!
ReplyDeletehao masai ukiwawekea mikonozz watakupiga mikuki kwakwakwaaaaa
ReplyDeleteNyie mnaosema huyo jamaa kibonge sio mmasai kwani hujawai kuona wamasai vibonge nini mbona wako wengi sana ngoja nikupe mifano wa wamasai vibonge, Victor Mollel,Angela Mollel,Nato Mollel,Edward Moringe Sokoine na wengine wengi tu. Huyo aliyekuwa na kitu kichwani sio John Mollel kweli.
ReplyDeleteJamani eeh!!! Nimepata ufumbuzi wa hiki kitendawili... Hao watatu kutoka kulia ni wamasai.. Huyo aliyevaa kitu kichwani amekaa kama John Mollel but I am not sure.. Huyo wa nne kibonge aidha ni Mmarekani mweusi mmoja wa walinzi wa Bush anazuga tu, au ni Mluguru mmoja.. Na kama ni Mmasai basi kweli Nyerere kafanya kazi Wamasai kufanana na Wakwere. LOL! Lakini kuna mmasai mmoja alikuwa anaitwa Cuthbert, I think, ila alikuwa mnene na mweupee kaa mchagga sijui kuna mtu kasingiziwa pale?? Anyway!!
ReplyDelete