Home
Unlabelled
ngurdoto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michu,mbona mtalii peke yako yaani 'lone ranger',ahh jamani matatizo ya Kenya yanatuathiri sisi wapole wa TZ.
ReplyDeleteKaka Michuzi, hivi vakesheni ni safari za kikazi au mapumziko? Naona hapo umevaa kitambulisho kwa ajili ya coverage ya ziara ya Bw. Pori huko A-Taun halafu unasema uko vakesheni.
ReplyDeleteMichu unanitia wasi wasi sasa , au umepewa 10% ya $700 million bush aliotoa tutakumaliza au inawezekana unapiga picha na kushinda ngurudoto alafu unalala
ReplyDeletemisongo bwilo guest house
hahaha kula rahaaa
du kaka Michuzi kwa kupenda mimwiko (maana ujiko haufai), yaani mtu upo na likitambulisho kabisa halafu unajidai vekesheni? mbona huendi songea hizo vekesheni zako au hatukuoni na wakeo? au ndo mtama kwa watoto kujidai upo kalikizo hapo ili ukamate mademu zetu kirahisi? sisi tunasubiri mifoto ya mzee Pori sio hizi habari za vekesheni wakati tunajua kilichokupeleka huko! tehetehtehetehe
ReplyDeleteAmakweli kaka hiyo ni official vacation, maana najua kama ungekuwa hapo kwenye swimming pool umepumzika kidogo ungetukamata ila full suit? hapo bado. Na naona kama vile hoteli imefungwa maana watalii ni nyie wawili tu? hata kupiga picha ukiwa unabudurika hata na kahenekeni kaka? Au mmejificha ili jamaa wa security wasiwaone wakawatoa nduki. Lakini si haba kaka, angalau kamenyu ka leo uongo
ReplyDeleteMwana bloguuuuuuu!!!!!!!!!!1
Mbona hawajaisafisha hiyo sakafu au bush hapiti huko? Naona pachafu sana hapo mliposimama...
ReplyDelete