WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI AMBAYE AWALI ALIKUWA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI DK MSABAHA NAYE KAMPELEKEA BARUA JK KUOMBA KUJIUZURU KWA MUJIBU WA MAELEZO YAKE ALIYOTOA DAKIKA HII BUNGENI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sasa tunataka MGONJA aachie ngazi!!!

    ReplyDelete
  2. Duh Bro Edo kaanzisha kamziki katamu naona mafisadi wanapokea tu chorus eheeee! Chenge husikii au ebu mwaga hata free style tukusikie bana. Kwani shindano hilo hata kama sauti mbaya imba tu alafu apokee hoseah na wengineee weengi waliotajwa. kweli hakuna lisilo na mwisho sikujua chakula hata kikiwa kitamu vipi ila ukipewa tonge la moto unalitema.... heeee tutabanana kwenye foleni ving'ora kwaheriiii!

    ReplyDelete
  3. hawa wote waangekua impeached toka jana report ilipotoka na wala hamna cha kuwapa muda wa kujiuzulu

    ReplyDelete
  4. JK ni kiboko lakini usiwachie karibu hebu wafunge kwanza ndio Dunia nzima itakutambua na jina lako litapanda kwenye chati kama Jerry Rorry wa Ghana, angalia Balali kajikopesha mwenyewe mabilioni, mwenzangu namie hupewi hata milioni kumi na kama ukipewa basi ujue ndio utachangia kulipa mikopo yao katika riba watakayo kutoza, na ukishindwa wanakufilisi kakibanda kako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...