Home
Unlabelled
mtazamo mpya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaendeza sana lakini kaka yangu umekosea hizo sio nyele nachuro bali ni fupi. Ila zimewekwa dawa. I had that syle last year.
ReplyDeleteMbona tunadanganywa mchana huu. Hiyo nywele sio nachuro, labda kaamua kuwa na nywele fupi may be that way ......
ReplyDeleteKama ni nachuro basi kiwe kipiripiri.
hamna lolote hapo, aseme ukweli tuu kama hana nywele ndefu, maana kama anataka nachuro asingeweka hiyo dawa, angeacha ziwe kipilipili tuu, kwanza anaonekana bold huyo maana hapo nywele zenyewe zinahesabika, mwanamke nywele kaka michuzi eheee!
ReplyDeleteNachuro!mbona zimejaa kemikali???
ReplyDeleteMie nimemuelewa maana hawa wadada walikuwaga wanaweka manywele ya bandia sijui mawiving na marasta sijui na mavitu gani ya kushonea sasa wameamua kutoka na nywele zao wenyewe. Na kweli nachuro maana hatuoni ile mikia ya punda na farasi.
ReplyDeletevipodozi vingine kama ROBOCOP..
ReplyDeleteDADA ulikua mzuri wakati nakuja kukuona pale millenium tower furniture centre ..... siendelei mengi b simple dear
natural?!?!? natural my a***! hizo nywele mbona zimetiwa dawa jamani.
ReplyDeleteSio nywele zake na hajapendeza ATL ALLLLLLLLLLLLLLLLL
ReplyDeletefashion tip mdogo wangu suti na hayo mashanga mengi haipendezi nywele umependeza
ReplyDeletenani tena huyu jamaani?
ReplyDeletejamani acheni roho za kwanini
ReplyDeletesi na wewe unyoe hivyo tuone kama utapendeze...she is naturally mrembo
Huyu sio kwamba amenyoa.Hizo ndizo nywele zake original.Mbigiri.Angekuwa mtoto mdogo basi wakati zinaanza kuota lazima alie kwa uchungu.Kwa sasa amesahau.Wengi wana nywele nzuri lakini makemikali na gundi vinafanya waonekane vinyago.Kama huna nywele wacha kulazimisha kupka gundi.Hajapendeza anatisha.
ReplyDeleteHapana Michuzi. Hizo nywele zimetiwa dawa na rangi hivyo siyo natural. Pa hairline yake ni BINAISA!
ReplyDeletenyinyi wabongo washamba na hamuelewi kitu hiyo ni natural ila kajiweka clean ni sawa na wanaopaka jell au perfumes au deodorant yaani mtu hawezi kutika na kipilipili lazima ajiweke soap soap au sio nyie vipi hamjui natural ni nini hiyo ndo natural kabisa kwa kuwa hana kitu bandia hapo ok kaeni na ushamba wenu wachafu wakubwa hata kwenye blog hii ya jamii lo!mi nina asili ya kihindi na nywele zangu laini na ndefu lakini still napata relaxer kwenye nyele zangu ili ziwe smooth na ziwe na mpangilio na zisijifunge kwa hiyo huyo bint hapo ni natural kama hamjui hizo ni nyele zake na amejiweka nadhifu kazi kwenu msiokubali na msiojua maana ya unadhifu ni mimi sisnoor@gmail.com
ReplyDeleteMie naona nywele ndefu ndio huwa zinampendeza zaidi simshauri na hivyo vimrambisho maana hana nywele nyingi kichwan angekuwa na asili ya nywele angependeza zaidi.
ReplyDeleteni mzuri sana usoni ila style hii ya nywele haijampendeza nafkiri zikianza kuota na kujaa ndio zitaanza kumpendeza hivi hivi labda ajitahidi kuzichana zichanganyike nafasi za kichwani zisionekane
ReplyDeletewewe mdosi @ 5:02 acha kutukana wazawa. kama uhindini nywele nachurali ni nywele uliyozaliwa nayo lakini unaweka relaxer juu ni huko kwenu. Kwetu nachurali ni kipilipili chetu ambacho kiko free of any chemical.
ReplyDeleteMimi naona kapendez ila makeups sijapenda na hiyo suit
Huyu nae huwa ajipechua kama selebu wa kweli.Nywele hana chibiliti mtupu.Hawana nywele hawa hata dada yake kipara hivyo hivyo tu.Hata afro haipandi mwendi weee!!! njuluku tu hizo mdogo wangu ogea mafuta ya kupikia.Hivi huyu mzambia nini maana hao ndio hawanaga nywele au mkenya.
ReplyDeletesisnoor wala usiangaike na hao watu watoa kasoro utaumia kichwa bure . wa kila kitu ni kutoa kasoro tu wanamawazo finyu achana nao. huyo dada kapendeze wanamuonea donge tu.waniudhi mimi wanaharibu maana na madhumuni halisi ya blog hii.
ReplyDeleteWandugu wapendwa tusitoe Comment za chuki tuwe wakweli na tuwe wazalendo ni sawa na kuwa na mtoto wako chongo ukamwambia sio ni kengeza maana huyo ni mrembo wetu na kama kuna jambo lakumfanya aongeze urembo au maendeleo basi naomba tutoe katika ushauri hali katika ya kiustaarabu kwani jinsi nilivyosoma comments hapo juu inaonekana watu wanatoa comments kwa roho ya kikwanini (maana roho ya kikorosho) tusiwe hivyo waswahili tunasema "Chanda Chema Huvikwa Pete" haina haja ya kuanza kulumbana n amatusi kwani huyo dada amekosa nini? tutakiane kila la kheri ili tuwe na maendeleo mtu hula mezani mwake, Yeye sio Fisadi tuungane tuwashinde mafisadi sio watu wanajihangaisha kivyao jamani, chuki, roho za korosho tuwawekee mafisadi.Zee la Busara
ReplyDelete