Home
Unlabelled
nguna
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wewe michuzi usinikumbushe huko kwetu Lushoto, maana siku za hitima au arusi sahani zinakua hazitoshi kwahio wanaweka kwenye majani ya mgomba, kisambaa [funge] hapo unaletewa na nyama ya ng'ombe au mbuzi iliyochinjwa siku hio. unafungua funge na nyama ya mbuzi.mmmmmh wewe bwana umenikumbusha nyumbani.
ReplyDeleteSAFI SANA LAKINI WAMECHANGANYA SOMO KIDOGO.
ReplyDeleteUKITAKA KUFUATA UTAMADUNI BASI VEMA UTAFUTE KUUKAMILISHA INAVYOWEZEKANA (INGAWA HUTAWEZA KWA 100%).
UGALI KUFUNGWA KATIKA MAJANI YA MGOMBA LAKINI UKAISHIA KUWA NDANI YA CHOMBO CHA ALUMINIUM AU STAINLESS STEEL N.K NI SAWA NA KUWAMBIA WATU WASINIITE STANLEY BALI WANIITE NYAKATAKULE- THE LAND SNIFFER BADALA YA KUKAMILISHA JINA LENYEWE KUWA NYAKATAKULE - UNYILISYA ECHALO!
HUO UGALI NA MAJANI YAKE VINGEWEKWA KATIKA KISONZO (MUCHIBHO) AU KATIKA CHUNGU (MUNYUNGU) EWAAA!!
Huo ubwabwa ukila na mchuzi wa kambale...ahhh tena akichanganya na maharagwe...raha tupu mjomba,Kempinski mnasikiliza???
ReplyDeleteHuo ubwabwa ukila na mchuzi wa kambale...ahhh tena akichanganya na maharagwe...raha tupu mjomba,Kempinski mnasikiliza???
ReplyDeleteMhhh michuzi ..
ReplyDeleteHiyo nguna inaonakana bomba sana lakini ujazo wake ni mdogo isije ikawa lile nguna la pale zamani gerezani mama ntilie ...wooops Mama Lishe walikuwa wanachanganya na hamira basi madude yakishajichanganya humo hukawii kuanguka na kupiga chini ...wellndio bongo yetu hiyo .
kidumu ..
mdau
kaka michuzi huo ugali ukiliwa na mchuzi tena nakualika wewe michuzi tuje kula pamoja nguna na mchuzi
ReplyDeleteMr Nyakutule hata kuweka humo kwenye hizo besen ni kuweka kale kaustaarabu kapya kwani wakiweka kwenye hivyo vyombo ulivyovitaja vya asili ninashaka kama wangepitia humo kila mtu angeukwepa ila vile umewekwa kwenye mgomba nina shaka pia kama ulimalizwa, ila ungewekwa kwenye foil paper ewaaaaa wengi wangekua na imani nao
ReplyDeleteMichuzi hao waliofunga hizo funge washauri warudi lushoto japo kwa mwezi mmoja maana wamesahau namna ya ufungaji- funge.jani la mgomba ni Hotpot ya kisambaa kwa ugali, na ugali unatakiwa usionekane- shuti ufungwe vizuri kwa style yake, ili kuhifadhi joto na usafi kwa ujumla. hicho walichofanya hapo ni aibu. na sijui lengo lilikuwa nini!
ReplyDeletemasamwei