ah, acha niendelee na vekesheni yangu huku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kaka Michu,mbona mtalii peke yako yaani 'lone ranger',ahh jamani matatizo ya Kenya yanatuathiri sisi wapole wa TZ.

    ReplyDelete
  2. Kaka Michuzi, hivi vakesheni ni safari za kikazi au mapumziko? Naona hapo umevaa kitambulisho kwa ajili ya coverage ya ziara ya Bw. Pori huko A-Taun halafu unasema uko vakesheni.

    ReplyDelete
  3. Michu unanitia wasi wasi sasa , au umepewa 10% ya $700 million bush aliotoa tutakumaliza au inawezekana unapiga picha na kushinda ngurudoto alafu unalala
    misongo bwilo guest house

    hahaha kula rahaaa

    ReplyDelete
  4. du kaka Michuzi kwa kupenda mimwiko (maana ujiko haufai), yaani mtu upo na likitambulisho kabisa halafu unajidai vekesheni? mbona huendi songea hizo vekesheni zako au hatukuoni na wakeo? au ndo mtama kwa watoto kujidai upo kalikizo hapo ili ukamate mademu zetu kirahisi? sisi tunasubiri mifoto ya mzee Pori sio hizi habari za vekesheni wakati tunajua kilichokupeleka huko! tehetehtehetehe

    ReplyDelete
  5. Amakweli kaka hiyo ni official vacation, maana najua kama ungekuwa hapo kwenye swimming pool umepumzika kidogo ungetukamata ila full suit? hapo bado. Na naona kama vile hoteli imefungwa maana watalii ni nyie wawili tu? hata kupiga picha ukiwa unabudurika hata na kahenekeni kaka? Au mmejificha ili jamaa wa security wasiwaone wakawatoa nduki. Lakini si haba kaka, angalau kamenyu ka leo uongo
    Mwana bloguuuuuuu!!!!!!!!!!1

    ReplyDelete
  6. Mbona hawajaisafisha hiyo sakafu au bush hapiti huko? Naona pachafu sana hapo mliposimama...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...