

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duuuuu wamefika saa ngapi toka mpanda? au ndege ilitumwa kwenda kuwachukua EEhh, safi sana hii
ReplyDeleteBro michu, hebu niulizie kama Waziri mkuu hana mke, maana hiyo nafasi adimu tuiombe haraka.nina sifa zote za kuwa mke wa waziri mkuu.Usinibanie basi
ReplyDeletedu hii ni fomaliti tu ze pipo ze apishwa na ze pipo ze brek ze ruris
ReplyDeleteBro Michuzi,Nina swali binafsi,siyo la msingi sana na si lazima ulichapishe humu kwenye hii globu yako,lakini nina dukuX2moyoni.swali lenyewe liko hivi:Hivi zile nambari za kwenye magari ya wale mawaziri/naibu waziri ulizo ziweka humu kwenye globu yapata siku chache zilizo pita,ilikuwa ni 'Coincidence' tu? au mwenzetu ulikuwa unanong'ona kitu fulani? WN WM TMSM(Waziri wa Nchi,ofisi ya Waziri Mkuu anyeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa)Uwezi jua bwana nyiye mpo karibu sana na NYUMBA KUBWA.poa Michu.
ReplyDeleteAhh basi tena michu tumeisha mwona mkewe, tulifikiri hana mke, tuiwanie hiyo nafasi.
ReplyDelete