jk akimpa nondozzz za kazi mh. pinda baada ya kumuapisha ikulu ya chamwino leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Duuuuu wamefika saa ngapi toka mpanda? au ndege ilitumwa kwenda kuwachukua EEhh, safi sana hii

    ReplyDelete
  2. Bro michu, hebu niulizie kama Waziri mkuu hana mke, maana hiyo nafasi adimu tuiombe haraka.nina sifa zote za kuwa mke wa waziri mkuu.Usinibanie basi

    ReplyDelete
  3. du hii ni fomaliti tu ze pipo ze apishwa na ze pipo ze brek ze ruris

    ReplyDelete
  4. Bro Michuzi,Nina swali binafsi,siyo la msingi sana na si lazima ulichapishe humu kwenye hii globu yako,lakini nina dukuX2moyoni.swali lenyewe liko hivi:Hivi zile nambari za kwenye magari ya wale mawaziri/naibu waziri ulizo ziweka humu kwenye globu yapata siku chache zilizo pita,ilikuwa ni 'Coincidence' tu? au mwenzetu ulikuwa unanong'ona kitu fulani? WN WM TMSM(Waziri wa Nchi,ofisi ya Waziri Mkuu anyeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa)Uwezi jua bwana nyiye mpo karibu sana na NYUMBA KUBWA.poa Michu.

    ReplyDelete
  5. Ahh basi tena michu tumeisha mwona mkewe, tulifikiri hana mke, tuiwanie hiyo nafasi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...