Msanii maarufu kutoka Zimbabwe,Oliver Mtukudzi 'Tuku"(katikati) akipiga stori na wasanii wa bongo Banana Zorro(kushoto) na Jhikoman(kulia) muda mfupi baada ya kumaliza kuongea na waandishi wa habari jijini Dar.Mtukudzi yupo nchini kwa ajili ya maonyesho 'live" jijini Dar na Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. I would really love to be in his concerts!! its a pity im not home!!! he a rich man, making good music but so simple!! thats a living example of a good musician.
    nana

    ReplyDelete
  2. Duh amechoka. Angalau aje atengeneze hela bongo akienda kubadilisha Zimbabwe atakuwa na magunia ya noti. maana noti ya milioni 1000 imetoka juzi.

    ReplyDelete
  3. aisee napenda nyimbo za huyu baba especially the ndariwakooooo weeeh hehehe.much respect oliver

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...