Home
Unlabelled
pinda aanza kazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Zitto hana lolote,
ReplyDeleteHapo anashangaa tu kicheko cha Mama bantu.
Ila PM wetu kweli Handsome.
Hata ben kinyaiya haoni ndani
jamani waziri mkuu mpya anapenda simu ya mkononii!!kila picha ana simu....waziri mbona hizo simu utabadili sana kutokana na wadhifa ulionao..asante
ReplyDeleteduuuuuuu. mBONA HUYU PM ana mambo mazuri hivi ahdi watu wanacheka kila upande. Au wanamcheka yeye? Kwa kikwete na Shein walikuwa wanatafuta kamba za kufunga mbavu zao kwa vichekesho vya Pinda. Hapa napo wanacheka hasa huyo mama japo Zitto anamshangaa huyo mama. Hilo tabasamu ka premier CHIBOKO:
ReplyDeleteMichu mshauri Premier abadili mtandao kwani huo aliokuwa nao tangia akiwa waziri sasa ni kimeo kwa nafasi ya uPM. Au ndio Ujamaa wenyewe?
Pia atupatie namba zake basi kwani kila mahali anatembea na simu(ukiangalia pcha tangia amkuwa PM utaiona).
Hongera PM kuwachekesha watu nadahni unaweza kuwazidi Akina MAssanjwa MKandamzwaji sometimes.
wachekeshe lakini kazi pia wape.
yaani huyu pindu one week tu katakata tuunde tume mapema nahisi kuna ufisadi umefanyika.
ReplyDeletemama mwambie Mh Waziri Mkuu akupatie umeme Bukene, usimchekee tu. Sisi wakazi wa mjii huu tumechoka kuwasha jenereta na kutembea gizani!
ReplyDeleteMzee Pinda ndio aonekana katili...lakini akianza hizo 'ze comedy'atakuchekesha mpaka ubadilishe kichupi...loh
ReplyDeletewe michuzi unabana comment zangu za maana za kutaka huyu mama aongee mambo ya maana bungeni kama vile kuweka umeme na mabarabara badala ya kuongelea kwamba yeye kama mtoto wa muasisi wa taifa kasela bantu aenziwe yeye na watoto wake....wewe michuzi unabana unatoa mambo ya kubadilisha kichupi acha hizo huyu mbunge katuacha sana watu wa bukene na huwa haongei hata kitu awapo bungeni huyu lakini hodari wa kupiga picha na mh. pinda kwani sisi tunataka picha??? sisis tunataka maendeleo bwana!!!!!!!!
ReplyDeletewisley snapes original
ReplyDelete