Home
Unlabelled
pinda na mahiga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NAONA KWA MTAZAMO WANGU WAZIRI MKUU INABIDI APUNGUZE KUPAKA MAFUTA KICHWANI NA USONI ANANG'AA SANA NDIO MAANA MIMI MWANZO NILIFIKIRI NI MTU WA KWETU MAANA KUNA WAJOMBA ZANGU WANAMALIZA KIKOPO CHA MAFUTA YA RAY'S KWA SIKU MBILI.
ReplyDeleteATUPELE MWANAFYALE
hivi nini maaana ya balozi wa kudumu? ina maana hadi afe ndo anaweza kuteuliwa mwingine? kama hivyo hata akigeuka fisadi ni sawa tu? hebu nifahamisheni wadau
ReplyDeleteNAOMBA NIMFAHAMISHE MDAU ALIYEULIZA MAANA YA BALOZI WA KUDUMU. KWA JINSI NINAVYOFAHAMU KATIKA UHUSIANO WA KIMATAIFA NCHI MARAFIKI ZINAWEZA KUANZISHA UHUSIANO WA KIBALOZI AMBAO HUDUMU KWA KIPINDI CHOTE CHA URAFIKI WA NCI HIZI. LAKINI ENDAPO ITATOKEA SABABU, NCHI HIZI ZINAWEZA KUVUNJA UHUSIANO HUO WA KIBALOZI,HIVYO UHUSIANO HUU HUWA SIYO WA KUDUMU.
ReplyDeleteLAKINI KWA UPANDE WA UHUSIANO WA NCHI MOJA NA UMOJA WEA MATAIFA , MTARAJIO NI KWAMBA HAKUNA NCHI DUNIANI ITAKAYOPENDA KUVUNJA UHUSIANO WAKE NA UMOJA WA MATAIFA NA HIVYO BASI UHUSIANO HUU HUWA WA KUDUMU. NDIYO MAANA OFISI ZA UBALOZI KATIKA UMOJA WA MATAIFA HUITWA OFISI ZA UBALOZI WA KUDUMU. HIYO NDIYO SABABU YA BALOZI ALIYEKO UMOJA WA MATAIFA KUWAKILISHA MCHI YAKE KUITWA BALOZI WA KUDUMU. YEYE BINAFSI SI LAZIMA ADUMU HUKO HADI ATAKAPOTANGULIA MBELE YA HAKI, ANAWEZA KURUDISHWA NA KUTEULIWA MWINGINE, HUYO NAYE ATAITWA BALOZI WA KUDUMU KWA SABABU UBALOZI HUO NI WA KUDUMU NA SI VINGINEVYO - NAOMBA KUWASILISHA
HALAFU TANZANIA MMEKADHANA NA VIBABU KWANI WATU WA UMRI WA KATIKATI HAWAWEZI KUONGOZA NCHI SI BURE KILA SIKU MNALALAMIKA WANAIBA MAJUKUMU MENGI
ReplyDeletemdau hapo wa juu nimependa sana ufafanuzi wako, yaani ungekuwa mwalimu wanafunzi wako wote wangepata 100. umetumia lugha rahisi sana ambayo kila mtu anaweza kuilewa
ReplyDelete